Kahama VS Njombe/Mafinga

Actually Mbeya ni mji wa kawaida sana huwezi fananisha na Mwanza zamani nilikua nasikia Mbeya kuzuri nikawa na hamu ya kufika, siku nafika Mbeya nilishangaa sana kuona mji mbovu
 
Actually Mbeya ni mji wa kawaida sana huwezi fananisha na Mwanza zamani nilikua nasikia Mbeya kuzuri nikawa na hamu ya kufika, siku nafika Mbeya nilishangaa sana kuona mji mbovu
Tatizo lenu mumezoea kuishi kwenye miji iloyorundikana pale CBD lakini Miji iliyotawanyika kama Mbeya,Dodoma lazima mshangae..

Mwisho Mbeya ya Leo Sio ya Jana au juzi,saizi Jiji ni kubwa na ni huge construction site kuanzia Uyole hadi Mbalizi kote huko Nyumba mpya zinasimama kila kukicha za serikali na za private sector..

Kila baada ya Mwaka uwe unakuja maana Mbeya Kwa sasa inabadilika na inakua vizuri sana tofauti na miaka 5 ya mwanzo ilipotangazwa kuwa Jiji..
 
Hili eneo Haliwezi fikia hata Buzuruga
Weka picha za hapo Buzuruga pako acha porojo..

Baadhi ya Nyumba za Makazi Jijini Mbeya,Kwa Kahama hizi ni hoteli 😬😬 πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-164126.png
    218.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220826-163247.png
    173.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220826-163507.png
    130.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220826-163414.png
    127.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220826-163654.png
    183.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220826-164042.png
    218.7 KB · Views: 7
Huoni aibu kutetea mbeya .jiji chafu vijengo vya kuokoteleza hapo uhindini
 
Ilemela ndo size yenu.....mbeya aisee bado sana.....
Hii ni mitaa ya ilemela.. buzuruga,kiseke,Ghana ,na makongoro .....sasa CBD nzima huwezi pata miundombinu na mwonekano safi kama huu ...
 
Haters wa Kanda ya ziwa ....this is loading speedy ...kaeni tayari Kwa maumivu
 

Attachments

  • Screenshot_20220826-220721.png
    106.7 KB · Views: 11
  • Mbeya-town-806x440.jpg
    47.2 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…