Hapa Tanzania hakuna uwanja wa ndege wenye runway ndefu kuzidi uwanja wa ndege wa Mwanza wenye 3.8km kizidi ata JNIA, kaa kwa kutulia mkulungwa Huyo huwanja upande wa runway hauna mashindani labda majengo tu ya abiria ndio tia maji tia maji.Umeshindwa kuleta data,naomba data zinazoonesha Mwanza airport Ina runway ya zaidi ya mita 3300 ndio tuendelee na mengine,kama huna shut up your mouth Songwe sio level ya Mwanza.
πππAsante brother
Nilikuwa namkumbusha tu huyo bro wa njombe kuwa kwa hapa Tanzania hakuna uwanja wenye runway ndefu kuzidi Mwanza internationa airport.Asante brother
Hakika ukiiangalia hiyo video ya mbeya yetu, utakuja kuona aliyeipa mbeya hadhi ya jiji alikuwa amenyeshwa ulanzi, jiji halina tofauti na halmashauri ya nzega.hivi tofauti ya mbeya na kahama ni nn aisee..kama ndo jiji hili kweli serikali walifeli pakubwa..kutoa hadhi ya jiji .Mara mia wangeipa morogoro au iringa.jiji ni chafu tunyumba tumerundikana sehemu moja ..mji ukisimama unaona unapoishia aibu tupu
Hili ndio jiji mkuu, Mwanza ni kuzuri sana.Majiji yanapaswa yawe hivyi
CBD ina majengo mazuri ya kuhesabu, hii city center yao haiwezi kufikia Nyegezi wala buzuruga.hivi tofauti ya mbeya na kahama ni nn aisee..kama ndo jiji hili kweli serikali walifeli pakubwa..kutoa hadhi ya jiji .Mara mia wangeipa morogoro au iringa.jiji ni chafu tunyumba tumerundikana sehemu moja ..mji ukisimama unaona unapoishia aibu tupu
Ni aibu tupu ..then ndo utawakuta wao ndo wa kwanza kuipondea dodoma eti magu kaipendelea ...Mara elfu dodoma deserved a city status earlier than mbeyaHakika ukiiangalia hiyo video ya mbeya yetu, utakuja kuona aliyeipa mbeya hadhi ya jiji alikuwa amenyeshwa ulanzi, jiji halina tofauti na halmashauri ya nzega.
Hapo ndo mjini kwao sasa..CBD ina majengo mazuri ya kuhesabu, hii city center yao haiwezi kufikia Nyegezi wala buzuruga.
Mwanza ndio kituo Cha kupitia ndege ndio maana unaona hao Ethiopia airways Wana connectHizo international route mtazisikia kwenye mabomba tu ... mwanza tayari tuna international route we unatapika nini hapa
Uwanja ni huu . tuondolee kituo Cha kupitia ndege hapa
View attachment 2334621View attachment 2334622
Unajikosha tuu hapa kwa wivu,kwanza hiyo video ni ya long Wala haija cover Mbeya bali imepigwa hapo Mwanjelwa hadi hapo junction ya Mafiat tuu..hivi tofauti ya mbeya na kahama ni nn aisee..kama ndo jiji hili kweli serikali walifeli pakubwa..kutoa hadhi ya jiji .Mara mia wangeipa morogoro au iringa.jiji ni chafu tunyumba tumerundikana sehemu moja ..mji ukisimama unaona unapoishia aibu tupu
Hapa wivu ndio unafanya Kazi π€£π€£π€£..Hakika ukiiangalia hiyo video ya mbeya yetu, utakuja kuona aliyeipa mbeya hadhi ya jiji alikuwa amenyeshwa ulanzi, jiji halina tofauti na halmashauri ya nzega.
We kenge acha ujinga,hiyo video inaonyesha sehemu ndogo Sana ya Jiji la Mbeya yaani hapo Mwanjelwa na Mafiati tuu..CBD ina majengo mazuri ya kuhesabu, hii city center yao haiwezi kufikia Nyegezi wala buzuruga.
Kwa.mujibu wa ujinga wako hiyo ndio Mbeya yote si ndio? Kama ndivyo nionyeshe haya majengo hapa chini kwenye hiyo video uchwara yakoπHapo ndo mjini kwao sasa..
Wakati wivu ukiendelea kukutafuna,meanwhile Mbeya kunzadi kukucha idadi ya Abiria inazidi kuongezeka πNi aibu tupu ..then ndo utawakuta wao ndo wa kwanza kuipondea dodoma eti magu kaipendelea ...Mara elfu dodoma deserved a city status earlier than mbeya