Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,698
- 1,333
πππMambo ni yenteView attachment 2331646
πππ
Nimekwambia huku kulikuwa na meli moja sasa tunapoenda kupata meli 3 ita boost uchumi zaidi,nyie huko kwenu uchumi wenu uko ziwani ila sie huku hii ni addition
Lake zone ina meli nyingi sana hata biashara inayotokana na ziwa inafaida kubwa sana,Nimekwambia huku kulikuwa na meli moja sasa tunapoenda kupata meli 3 ita boost uchumi zaidi,nyie huko kwenu uchumi wenu uko ziwani ila sie huku hii ni addition tuu.
Kama hizi nazo ni hotel basi maana ya hotel imebadilika..
Jamaa naona kaleta vyuma piruuu na rangi kabadilishaMbeya moja na Majinjah VIP
Hizi ndinga mwanangu zinajua kuchinja aiseeMbeya moja na Majinjah VIPπ
Lini majinjah amepata ajali siku za karibuni?Hizi ndinga mwanangu zinajua kuchinja aisee
Kahama inakimbizana na Mwanza we unailinganisha na njombe kweli?
Kahama ni madini ,siku madini yakiosha au kutoweka ndiyo itapungua kasi bila hi
πππππππππππKahama inakimbizana na Mwanza we unailinganisha na njombe kweli?
Kahama ni madini ,siku madini yakiosha au kutoweka ndiyo itapungua kasi bila hivyo ni ideal kwa mtu yeyote timamu ile
Hata mkiungana mikoa yote kusini hamuwezi kuzalisha hata nusu ya kahawa inayozalishwa KageraEndeleeni ku post majengo,ripoti zikitoka kwamba mnaongoza umaskini msije kulaumu
Huku ndiko tunapata pesa
Sie tunawakimbiza kila sekta kuanzia madini hadi kilimo.πHata mkiungana mikoa yote kusini hamuwezi kuzalisha hata nusu ya kahawa inayozalishwa Kagera