Mi Niko kahama..Huwa sitetei vitu ambavyo sijawahi viona...kahama unavyosema Ina majengo mawili unachekesha kabisa ..fika kahama ujionee sio unaongea ongea tuWewe una shida,kwa hiyo Kahama hiyo wewe unaona ni nzuri? Kwa lipi hebu tueleze maana video tumeweka hapo au tuletee video yako wewe.
Weka hapa,video nimekuwekea weka jengo hata moja la ghorofa 4 hapa.Mi Niko kahama..Huwa sitetei vitu ambavyo sijawahi viona...kahama unavyosema Ina majengo mawili unachekesha kabisa ..fika kahama ujionee sio unaongea ongea tu
Picha na video ndio zinaongea sio kupanua Domo hapa..Sunk kama sunk popoma mkubwa, yaani wewe wakuilinganisha kahama na kijiji cha ujamaa cha njombe hakika umepotoka mkuu, hilo pepo la chuki litoke kwa jina la yesu.
Kahama ya leo sio ya kuuliza ghorofa nne, huyo wa Kahama naimani amalizi siku atakuwa amekuwekea tu.Weka hapa,video nimekuwekea weka jengo hata moja la ghorofa 4 hapa.
😆😆 Kuna Kahama tofauti na hiyo ya kwenye video hapo? 🤣🤣🤣🤣..Kahama ya leo sio ya kuuliza ghorofa nne,
Nitakutumia picha ..ilaKuna Kahama tofauti na hiyo ya kwenye video hapo?..
Manispaa nzima ina tugorofa tuzuri 2 tuu heeee
Kumbuka pia, Nje ya manispaa za Dar na ilemela hakuna manispaa yoyote inayoikuta kahama kwa mapato ya ndani.Picha na video ndio zinaongea sio kupanua Domo hapa..
Onyesha jengo hata moja la ghorofa japo 4 tuu hapo Kahama poor town na Manispaa ya hovyo sijawahi kuona..
Sawa kabisa ila sasa hata Chalinze sio Manispaa ila ina mapato ya ndani kuliko Kahama..Kumbuka pia, Nje ya manispaa za Dar na ilemela hakuna manispaa yoyote inayoikuta kahama kwa mapato ya ndani.
😆😆😆😆 Oneni huyu poyoyo yaani unaacha kukaa kijiweni kusafirisha abiria na Boda yako unaanza kuchoma mafuta kuzunguka mitaani kutafutiza tugorofa twa mchongo 😜😜.Nitakutumia picha ..ilahii Ni sheli tu
Jioni ya leo nakutumia picha ...
Njombe huwez pata petrostation yenye ghorofa View attachment 2324294View attachment 2324295
Aliekuambia mim bodaboda nani...stay calm bro nakuja na mabomuOneni huyu poyoyo yaani unaacha kukaa kijiweni kusafirisha abiria na Boda yako unaanza kuchoma mafuta kuzunguka mitaani kutafutiza tugorofa twa mchongo.
Harafu baadae muanze kumlaumu Samia kwamba Maisha Magumu..
Njombe inazo tena sio moja,naifahamu NFS Njombe Filling station.
Kwa hiyo kujigamba koote kwamba sijui utakuja na vitu vikali ndio umekuja na huu utoto? 😆😆😆😆.Bank zilizopo kahama....njombe tofauti na crdb,nmb,na NBC ,hamna branch nyingine huko .uje eneo Hilo Lina mzunguko mdogo wa pesa ...
Sema picha hazingai vizuri ..ila hapo chini naonyesha uwepo wa bank mbalimbali kahama .
Equity, Azania,boa,tpb,DTB .benki hizi ni nadra kuzipata mikoani tofauti na majijiView attachment 2324738View attachment 2324739View attachment 2324740View attachment 2324741
Tulia wew ...bado ,,,..sijakuletea ,, camera man Yuko on job soon nakuletea hapa ...Kwa hiyo kujigamba koote kwamba sijui utakuja na vitu vikali ndio umekuja na huu utoto?.
Na wewe kwa akili yako ndogo Njombe ina mzunguko mdogo wa Hela? Ingekuwa hivyo ungekuta kuna magorofa yote Yale hadi unashangaa?
Njombe ya Leo Sio ya Miaka ile,sio tuu hizo zipo Bali Kuna hadi Mkombozi Commercial Bank.
Kwa hyo mkombozi benki nayo ni ya kusema ,,,,,,,,.....Kwa hiyo kujigamba koote kwamba sijui utakuja na vitu vikali ndio umekuja na huu utoto?.
Na wewe kwa akili yako ndogo Njombe ina mzunguko mdogo wa Hela? Ingekuwa hivyo ungekuta kuna magorofa yote Yale hadi unashangaa?
Njombe ya Leo Sio ya Miaka ile,sio tuu hizo zipo Bali Kuna hadi Mkombozi Commercial Bank.
Kama sio ya kusema ila ni ya kufanya nini?Kwa hyo mkombozi benki nayo ni ya kusema ,,,,,,,,.....
Ukileta jengo la ghorofa 4 hapo Kahama naacha kuchangia hii mada.Tulia wew ...bado ,,,..sijakuletea ,, camera man Yuko on job soon nakuletea hapa ...
. njombe haiwezi kuwa na hzo benki leta ushahidj hapa
Ukileta jengo la ghorofa 4 hapo Kahama naacha kuchangia hii mada.
Wakati unajiandaa kuacha kuchangia mada..leo nafanya attacking system.counteroffesive...nimeacha defense systemUkileta jengo la ghorofa 4 hapo Kahama naacha kuchangia hii mada.