The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Sisi hatufanani na hizo takataka,atapandisha hadhi na kugawa maeneo akimaliza malengo yake..Kumbe rais kawatolea nje...na mko kimyaaisee bravo Samia ....njombe bakini kwenye kundi moja na nzega,manyoni,babati hizo ndo size zenu ..View attachment 2320511
Acha kuchekesha Mzee..Hiyo mipango ya wanasiasa tu ...
Kama Switzerland tuu πSasa yupo ndani ya mkoa wa njombe unaaenda speed ana ziara ya siku nne na kuna mtu humu ndani alisema ohoo rais akitangulia njombe kabla ya kahama anajitoa ndo ajitoe sasa tuliwambia kwa sasa mkoa wa njombe ni mkoa wa kimkakati
Meanwhile Soon ujenzi wa barabara hadi unaanza mwezi wa 9.Mbona baya hvyo
Njombe TC inalinganishwa na Jiji la Mwanza..
Njombe ni
Kwa hiyo kule uliko uwanja wa CCM pale Mwanza sio Kirumba? CCM Kirumba ni nini?Ona sasa kumbe hata Mwanza huijui aliyekwambia Kirumba ipo Jiji ni nani?
CCM Kirumba ipo Ilemela Municipal, na sio Mwanza city. Ni kweli huijui MwanzaKwa hiyo kule uliko uwanja wa CCM pale Mwanza sio Kirumba? CCM Kirumba ni nini?
Kwa hiyo Ilemela iko Misungwi sio sehemu ya Mwanza mjini au sio?CCM Kirumba ipo Ilemela Municipal, na sio Mwanza city. Ni kweli huijui Mwanza
Wewe unadai nashindanisha Jiji na Mji, wakati hilo soko halipo JijiKwa hiyo Ilemela iko Misungwi sio sehemu ya Mwanza mjini au sio?
Uzee umekufikia
Alitoa sababu,na mwenyekiti wa CCM alimwambia Rais kuwa kama kahama ilitangazwa bila kufuata utarratibu wa kisheria kwa njombe nayo isitangazwe kwa kuwa imekidhi vigezo vya kiuchumi.Rais alisema tuwe wavumilivu.Kumbe rais kawatolea nje...na mko kimyaaisee bravo Samia ....njombe bakini kwenye kundi moja na nzega,manyoni,babati hizo ndo size zenu ..View attachment 2320511
Wew .hujisikilizi .ulitaka utaratibu Gani ufatwe ..kahama ni manispaa tosha na ilicheleweshwa tu kupewa ...njombe ukienda pale Nazareth kurudi Ramadan mji umeisha ..uwe manispaa.hvi unavijua vigezo vya mji kuwa manispaaAlitoa sababu,na mwenyekiti wa CCM alimwambia Rais kuwa kama kahama ilitangazwa bila kufuata utarratibu wa kisheria kwa njombe nayo isitangazwe kwa kuwa imekidhi vigezo vya kiuchumi.Rais alisema tuwe wavumilivu.
Hajui tu, mchakato wa Kahama kuwa Manispaa ni wa muda, hao Njombe watasubiri sana. Kahama, Geita na Kibaha ndio zilimulikwa mapema.Wew .hujisikilizi .ulitaka utaratibu Gani ufatwe ..kahama ni manispaa tosha na ilicheleweshwa tu kupewa ...njombe ukienda pale Nazareth kurudi Ramadan mji umeisha ..uwe manispaa.hvi unavijua vigezo vya mji kuwa manispaa
..Lazima watu laki 2 plus
Mapato ya kujitosheleza
Miundombinu muhimu
Huduma za jamii za uhakika
Robo tatu ya uchumi isitegemee sekta ya kilimo
Uwekezaji wa taasisi muhimu na makampuni ya biashara..
NJOMBE HAINA SIFA HIZI
Alimchana live ππAlitoa sababu,na mwenyekiti wa CCM alimwambia Rais kuwa kama kahama ilitangazwa bila kufuata utarratibu wa kisheria kwa njombe nayo isitangazwe kwa kuwa imekidhi vigezo vya kiuchumi.Rais alisema tuwe wavumilivu.
Wapi ambako mchakato haukuanza mapema? Geita au Kahama kuna nini cha kuizidi Njombe?Hajui tu, mchakato wa Kahama kuwa Manispaa ni wa muda, hao Njombe watasubiri sana. Kahama, Geita na Kibaha ndio zilimulikwa mapema.
Wasubirie Geita na Kibaha zipewe heshima zao kwanza.
Hakuna barabara ni mavumbi tupu.Wew .hujisikilizi .ulitaka utaratibu Gani ufatwe ..kahama ni manispaa tosha na ilicheleweshwa tu kupewa ...njombe ukienda pale Nazareth kurudi Ramadan mji umeisha ..uwe manispaa.hvi unavijua vigezo vya mji kuwa manispaa
..Lazima watu laki 2 plus
Mapato ya kujitosheleza
Miundombinu muhimu
Huduma za jamii za uhakika
Robo tatu ya uchumi isitegemee sekta ya kilimo
Uwekezaji wa taasisi muhimu na makampuni ya biashara..
NJOMBE HAINA SIFA HIZI
Mgodi upi Kahama? Buzwagi imefungwa muda na hakuna productions. Labda kama unaongelea mapato YA Halmashauri ya MsalalaWapi ambako mchakato haukuanza mapema? Geita au Kahama kuna nini cha kuizidi Njombe?
Na infact Njombe ndio imewazidi hizo Miji zenu kwa takribani kila kitu na ndio maana tuko kwenye thread hii..
Mapato ya Geita na Kahama 50% ya migodi wakati huku kwetu Njombe ni shughuli za Moja kwa Moja za Wananchi hasa sekta ya misitu na kilimo..