Kahama VS Njombe/Mafinga

Mabasi ya dar Mwanza ni mengi kuliko dar mbeya, ndege ndo usiseme.
 

Matatizo yako huko kusini kulikotengwa, kwanza ilitakiwa yawe mashamba tu lakini nashangaa kwanini watu wanaishi huko, zaidi ya 90% ya dhahabu inachimbwa Kanda ya ziwa, mbeya kimakusanyo iko nyuma ya nyamagana, mbeya kila siku hapa mnalialia mmetengwa hata hii Rais kuja kwenye nanenane mmefurahi mno kwamba mmeanza kukumbukwa wakati ni zuga tu.
 
Huna hoja..Kusini ni zaidi ya dhahabu huku kuna kila kitu.

Nyanda za Juu Kusini ni Nchi na nusu sio sawa na huko mnakouana hovyo kwa umaskini.

Kusini kumetengwa 😁😁😁😁.

Soma hiyoo πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220807-081331.png
    154.2 KB · Views: 15
Mabasi ya dar Mwanza ni mengi kuliko dar mbeya, ndege ndo usiseme.
Nikajua umeweka namba kumbe umeandika stori za kutunga. Nasema hivi hamuwezi zidi hata kidogo,kuna basi zaidi ya 15 zinaondoka Mbeya kwenda Dar kila siku..

Hizo ngoma hapa zote zinatoka Mbeya.Driving on Southern Highlands Roads πŸ‘‡
 

Attachments

  • FZBISSxXkAABmSX.jpeg
    86.2 KB · Views: 19
  • FXYK5XlXkAIZEuQ.jpeg
    159.7 KB · Views: 17
Taa nazo ni za kujisifia kweli kwenye hicho Kijiji chenu kilichojaa umaskini?

Huku Kusini kila Mji una hizo taa,sio swala la mipango..

Hizi taa ziko hadi Vijijini nyie mngeita mjini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Soma hiyoo πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220807-081112.png
    162.4 KB · Views: 17
  • 20220807_081127.jpg
    145.9 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…