Kahama VS Njombe/Mafinga

Yes Hali ya hewa ya kwetu ni pesa..

Umaskini haujaisha hapa Tanzania Mkuu bado kuna Kazi kubwa..

Njombe tuna uafadhari kuliko kule kanda ya makokolo πŸ‘‡
Per capital kwa popolation ya kijiji? 😁😁😁😁😁😁😁
 
Rais anaogopa mavumbi ndio maana haendi Mbeya
.

cc sexer,instanbul na Wafuasi wao
Siku zote kusini ni ya mwisho, ilikuwa hakuna namna lazima aje angalau kuonyesha yeye ni Rais wa wote ingawa kusini imetengwa. We angalia anaishi Kanda ya kati na dar, keshaenda Kanda ya ziwa mara 5, kaskazini mara 2, kusini ndo mmekumbukwa mara moja tena kwa zali la nanenane.
 
Mchuano wa Njombe na Kahama unazidi kunoga hususani kwenye kipengele cha mapato..

Mufindi na Mafinga ni
,Moja ya Wilaya Tajiri Sana hapa Tanzania.

Njombe 8.4bln Vs Kahama 9.9bln
Kahama ni wilaya moja yenye majimbo matatu na halmashauri 3. Kahama, msalal na ushetu. Jumlisha Kisha linganisha na njombe
 
Duh. Mbeya hakuna wafanyabiashara wakubwa. Ndege mara 4 kwa wiki. Wakati Mwanza mara 4 kwa siku na Kahama mara 3 kwa wiki
Pia angalia umbali wa Mwanza na Mbeya kwa barabara..

Ukipata jibu hesabu mabasi mangapi yanaenda Mbeya kutoka Dar na Mangapi yanaenda Mwanza kutoka Dar..

Hata Kigoma na Bukoba ina route nyingi za ndege kuliko Mbeya na sababu ni umbali so mtu analinganisha adha ya kushinda barabarani masaa mengi na bei ana opt Ndege Kwa huko kwenu na huku kwetu Wana opt mabasi...
 
Huko kwenu anakuja kwa sababu Kuna lundo la matatizo ambayo huku hayapo..

Mathalani ziara yake huku Mbeya imekuwa ni full shangwe kwa utekelezaji wa miradi na amewasifia watendaji wake,huko Mwanza keshapangua ma RC mara 3..

Mfano mwingine,Biteko Amesema Wilya ya Chunya imeizidi Kahama na ni ya pili Kwa kuzalisha dhahabu nyingi nyuma ya Geita,ni full shangwe..

Waziri wa Viwanda na Uwekezaji Amesema Mbeya ni ya pili Kwa kuwa na viwanda vingi nyuma ya Pwani na vingine.vingi vinakuja wametoa leseni kama zote..

Na RC amesisitiza tena leo kwamba Mbeya imekusanya Bil.45 na kuvuka malengo kwa hiyo Bashungwa katoa taarifa ya uongo..

Mwisho siku ya 8/8 Rais anazindua miradi 21 ya umwagiliaji Kati ya hiyo 13 iko Mkoa wa Mbeya..

Ndio maana kila siku nawaambia Mbeya hatuhitaji push ya serikali huku tayari watu wanajua wanachofanya sio kama huko msikojielewa.
 
Wanaishia kujivunia ziwa na hiyo mbuga
 
 
Eti mbeya ni ya pili Kwa viwanda ...unajisikia wew kweli au unaongea tu
 
Utopolo mtupu umeongea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…