The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Pride of lake zoneHuyu mnyama anatembea kwenye barabara Bora tuu ya TANZAM all the way to South Africa![]()
NJOMBE on the move.wale wa kahama watulipe na hii basi
Yaani hapo ndio Kahama mjini au? Mbona kuna mavumbi na kumepauka hivyo?Pride of lake zoneView attachment 2305140
Maskini kutoka kwenye vumbi njombe umeshangaa mji wa kijani na mandhari ya bukobaeti huu ndio mji uliopewa hadhi makao makuu ya mkoa tangu 1969 😀 😀 😀
Ingawa hiyo video ni ya 2015 lakin mji bado ni mzr na unavutia mno ukiongezea na fukwe za ziwa na ukijani wa milima...eti huu ndio mji uliopewa hadhi makao makuu ya mkoa tangu 1969 😀 😀 😀
Hizo story tu mkuuAsante Sana Kinana,sio njia 4 tena bali njia 8,Dar Tunduma Highway..
Msinune jamani ni mipango tuu![]()
Huna cha kuonyesha we maskini wa Kagera.Hizo story tu mkuu
Kwa bahati mbaya hata ikitokea ni kwa ajili ya magari ya kupeleka mizigo Zambia kutoka Dar huko vijijini kwenu vumbi tupuHuna cha kuonyesha we maskini wa Kagera.
Story au sio? Soma hiyoo![]()