Kahama imeshatoka huko kwenye maji zamani kupitia mradi wa maji ya ziwa Victoria.Miradi maji hiyo Soma hapo Kama utiona kahama yako hyo na mama Alisha sain miradi ya kihistoria
View attachment 2274214
Choice amekimbia uzi nilianza naye 2019 akaishia njianiOut of five ,4 ni kanda ya ziwaView attachment 2277664
Bahahahaha huu uchafu?
Na songea zinaenda ngapi?Mkoa wa njombe huo zaidi ya gari 200 kwa siku zinaingia kusomba makaa ya maweView attachment 2275088View attachment 2275084
Baridi inawatandika sana..hadi akili zimechizika.Na songea zinaenda ngapi?
Ukiwa mfupi, mweusi unavaa koti saa 24 huwezi kuwa mzima
Unaleta picha za highway na makoti yenu as usual puuu
Kwenye bi bi bi ndio maskini wengi wanapatikana.Tuache utani mikoa ya Kanda ya ziwa hususani Mwanza,Simiyu,Shinyanga,Geita na baadhi ya maeneo ya Kagera ni mikoa Duni mno Jiji la mwanza Wala lisichanganye in it's outskirt Kuna umasikini mkuu,makazi duni,elimu duni,maisha duni.Serikali inapaswa kufanya kitu it badMapato yatokanayo na madini kwa mwaka 2021:2022,,,kanda ya ziwa vs nyanda za juuView attachment 2277661View attachment 2277662
Eti makazi duni, elimu duni ...,we unajua NBS wametumia kipimo gani kudetermine hali ya umaskini kwenye hyo mikoa uliyoitaja ....Kwenye bi bi bi ndio maskini wengi wanapatikana.Tuache utani mikoa ya Kanda ya ziwa hususani Mwanza,Simiyu,Shinyanga,Geita na baadhi ya maeneo ya Kagera ni mikoa Duni mno Jiji la mwanza Wala lisichanganye in it's outskirt Kuna umasikini mkuu,makazi duni,elimu duni,maisha duni.Serikali inapaswa kufanya kitu it bad
Kanda ya ziwa huhitaji hata kutumia NBS data macho TU yanakuambia ukweli Yale makazi yalijojaa Kila Kona na kufunikwa na mawe juu unadhani sio duni?.Mimi nawasaidia TU kuwa serikali iwasaidie Kwa jicho la kipekee maana wanachi pekee Yao hawawezi tofauti na nyanda za juuEti makazi duni, elimu duni ...,we unajua NBS wametumia kipimo gani kudetermine hali ya umaskini kwenye hyo mikoa uliyoitaja ....
Je hicho kipimo limitation zake ni zipi
Wametumia wastani wa consumption kwa kila kaya kwa mwezi katika mahitaji ya msingi kama chakula na mavazi na hawajaangalia consumption kwenye kununua vitu vingine kama nyumba,magari, rasilimali zingine .swali linakuja je kama kaya ina chakula cha kutosha store na hailazimik kununua chakula je nayo inawekwa kwenye kaya maskini ..kisa haijafanya manunuzi ya chakula na mavazi ndani ya mwezi husika!?.
Dar inaongoza kwenye list ya mikoa tajiri si kwa sababu ni matajiri wengi bali wengi wao wanafanya consumption kweny mahitaji ya msingi ya chakula kwa sababu dar hamna hayo mashamba ya msosi ko lazima wanunue kwa wingi..
Slums zilizojazana dar es Salam ,,nyumba za tembe zilizopo Dodoma ,udumavu uliopo njombe ,huoni au hayo ndiyo makazi bora unayoyasemea ..mpaka hapo inaonekana huna facts za kusimamia hoja zakkKanda ya ziwa huhitaji hata kutumia NBS data macho TU yanakuambia ukweli Yale makazi yalijojaa Kila Kona na kufunikwa na mawe juu unadhani sio duni?.Mimi nawasaidia TU kuwa serikali iwasaidie Kwa jicho la kipekee maana wanachi pekee Yao hawawezi tofauti na nyanda za juu
Ukiwaambia watu wafupi hapa ni DAR watabishaSlums zilizojazana dar es Salam ,,nyumba za tembe zilizopo Dodoma ,udumavu uliopo njombe ,huoni au hayo ndiyo makazi bora unayoyasemea ..mpaka hapo inaonekana huna facts za kusimamia hoja zakk
Mmekwama.
Haya si makazi duni Bali unplanned settlements.
Huijui DAR wala ARUSHA hata Mwanza naona huwa mnazisikia tuHaya si makazi duni Bali unplanned settlements.
Hapajui mtu wa mtwango huko,,Lupembe atapajulia wapHuijui DAR wala ARUSHA hata Mwanza naona huwa mnazisikia tu
Kwa hyo hizo ni nyumba bora si ndio ..Haya si makazi duni Bali unplanned settlements.