The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Hii inaitwa Manispaa ya Uyole,safi Sana.
Hii inaitwa Manispaa ya Uyole,safi Sana.
Hatukidhi vigezo kivipi wakati wakaazi ni zaidi ya 200k na mapato ni zaidi ya Bil.8.,Hamna kitu kama hicho ....
Bado hamkidhi vigezo
Tutakuwa Manispaa moja matatizo Sana kama ilivyo Vwawa-Mlolo kule Mbozi.Makambako tc na njombe tc full kuungana na project zikizidi kubadilisha madhari
View attachment 2272507View attachment 2272504View attachment 2272517
Kama uyole ikiwa manispaa ,bas Mbeya isahau kuitwa halmashauri ya jiji...Mbeya kama Mbeya haiwezi itwa jiji bila mbalizi au uyole ...Hatukidhi vigezo kivipi wakati wakaazi ni zaidi ya 200k na mapato ni zaidi ya Bil.8.,
Kinachotasubiriwa na Rais kutangaza maeneo mapya ya utawala..
Kwa taarifa yako hata Mbalizi inakuwa Halmashauri ya Mji na Wilaya mpya pia inaanzishwa.
Hujui unachoongea yaani unaropoka tuu..Kama uyole ikiwa manispaa ,bas Mbeya isahau kuitwa halmashauri ya jiji...Mbeya kama Mbeya haiwezi itwa jiji bila mbalizi au uyole ...
Hizo takwimu za mapato mmezipata wapi .hamna kitu kama hicho kama ingekuwa vyepesi hivyo tungeona dar ina manispaa zaidi ya kumi kama ishu ni mapato na idadi ya watu
Kama mapato ya Mbeya ni wastani wa bilioni 12 ..ukitoa hyo uyole Mbeya inabakiwa na bilion 5 ,,,inakuja kulingana na halmashauri ya mji geita ,.... unadhani kupewa hadhi ya manispaa ni jambo dogo...Hujui unachoongea yaani unaropoka tuu..
Mbalizi sio sehemu ya Jiji la Mbeya hata sasa,iko Mbeya Vijijini..
Uyole itaitwa Manispaa na sehemu inayobaki ndio Jiji la Mbeya.
Ndio maana nakwambia hujui unachoongea zaidi ya kuropoka..Kama mapato ya Mbeya ni wastani wa bilioni 12 ..ukitoa hyo uyole Mbeya inabakiwa na bilion 5 ,,,inakuja kulingana na halmashauri ya mji geita ,.... unadhani kupewa hadhi ya manispaa ni jambo dogo...
Uyole inakosa sifa za miundombinu na kimkakati kuwa manispaa ,,zlabda ikubali Mbeya kushushwa hadhi
Mbeya tu yenyewe haina sifa kamili za kuwa jiji ,,bado ukiigawa sijui itakuwajeNdio maana nakwambia hujui unachoongea zaidi ya kuropoka..
Mapato ya Mbeya ni zaidi ya Bil.15,
Pia ukae ukijua kwamba baada ya kugawanywa lazima udhibiti wa mapato upatikane na vyanzo vipya kuanzishwa kwa hiyo hili ni jambo zuri maana kila Halmashauri inaweza kuwa inakusanya 10 bln kila mwaka.
Hii ni ilemela municipal ..Mbeya na kuwa jiji wameizidi watu elfu 42 tuMbeya tu yenyewe haina sifa kamili za kuwa jiji ,,bado ukiigawa sijui itakuwaje
Ukiangalia hapo chini kwenye sheria ya mipango miji
Mbeya kwa mujibu wa takwimu zake currently Ina watu 4680000 . wakati ili uwe jiji unatakiwa uwe na watu laki 5.View attachment 2272918View attachment 2272919
Nikukumbushe mtu Njombe baraba za lami hazipo uzunguni kama ulivyosema Kuna Barabara inaenda Kambarage kule raia wa kawaida tu,Barabara kutoka NBC mgendela Hadi milima motel/KKT ni CBD,Barbara ya Posta Nako ni CBD,Barabara ya Chaugingi joshoni Hadi kiswele ni mitaa ya watu wa kawaida,pia bara ya Nazareth Centre nayo Kuna wakazi wa kawaida,huko ulikosema kwa wakinga nikukumbushe tu Barbara ya Njombe- makete ni lami,Barbara ya Njombe-Ludewa Zege inaendelea kujengwa na kilomita 50 almost done,sijataka kukuandikia Barbara unganishi CBD ambazo ni lami.Kahama ni manispaa iliyo na miundo mbinu ya Ovyo kuliko zoteNjombe kuna shida mahali.
Barabara za mitaa nyingi ni vumbi
Mji mzima vumbi.
Kuna upendeleo wa ujenzi wa barabara za mitaa (zinajengwa kule wafanyakazi wa halmashauri wanaishi)
Tanesco uzunguni barabara mbovu sana.
Halmashauri Njombe kuna mapungufu mengi. Waliohukumiwa sijui kama ni wao tu. Kama ni ubadhirifu sijui rushwa basi umefikia kiwango cha kutisha..
Mji hauna maji safi, maji ya mgao (inakuwaje?)
Mkoa una uzalishaji wa mazao ya biashara na chakula lakini maendeleo hayafanani na uzalishaji.. Wakinga wanajenga magorofa Dar kwao hata barabara za shida..
Picha za mashamba ya chai parachichi miti etc ni nadhifu lakini maendeleo kwa wananchi zero..
Kahama wako vizuri. Bishara umeuboresha mji. Wakazi wanajielewa..
Mji msafi na watu wake wasafi.
Barabara zipi ambazo Kahama wanazo kushinda Njombe? Acha vichekesho.Njombe kuna shida mahali.
Barabara za mitaa nyingi ni vumbi
Mji mzima vumbi.
Kuna upendeleo wa ujenzi wa barabara za mitaa (zinajengwa kule wafanyakazi wa halmashauri wanaishi)
Tanesco uzunguni barabara mbovu sana.
Halmashauri Njombe kuna mapungufu mengi. Waliohukumiwa sijui kama ni wao tu. Kama ni ubadhirifu sijui rushwa basi umefikia kiwango cha kutisha..
Mji hauna maji safi, maji ya mgao (inakuwaje?)
Mkoa una uzalishaji wa mazao ya biashara na chakula lakini maendeleo hayafanani na uzalishaji.. Wakinga wanajenga magorofa Dar kwao hata barabara za shida..
Picha za mashamba ya chai parachichi miti etc ni nadhifu lakini maendeleo kwa wananchi zero..
Kahama wako vizuri. Bishara umeuboresha mji. Wakazi wanajielewa..
Mji msafi na watu wake wasafi.
Yan kati ya mkoa ambao hauna upendeleo Ni njombe ya Yan lami zimepigwa sehemu nyingi ndani ya mkoa usiongee wakati bado haujautembelea mkoa upo vizuri ujenzi wa gorofa zipo zinajengwa Tena za kutoshaNjombe kuna shida mahali.
Barabara za mitaa nyingi ni vumbi
Mji mzima vumbi.
Kuna upendeleo wa ujenzi wa barabara za mitaa (zinajengwa kule wafanyakazi wa halmashauri wanaishi)
Tanesco uzunguni barabara mbovu sana.
Halmashauri Njombe kuna mapungufu mengi. Waliohukumiwa sijui kama ni wao tu. Kama ni ubadhirifu sijui rushwa basi umefikia kiwango cha kutisha..
Mji hauna maji safi, maji ya mgao (inakuwaje?)
Mkoa una uzalishaji wa mazao ya biashara na chakula lakini maendeleo hayafanani na uzalishaji.. Wakinga wanajenga magorofa Dar kwao hata barabara za shida..
Picha za mashamba ya chai parachichi miti etc ni nadhifu lakini maendeleo kwa wananchi zero..
Kahama wako vizuri. Bishara umeuboresha mji. Wakazi wanajielewa..
Mji msafi na watu wake wasafi.
Ni aibu ,bora ungeacha tu kupost hizo pichaYan kati ya mkoa ambao hauna upendeleo Ni njombe ya Yan lami zimepigwa sehemu nyingi ndani ya mkoa usiongee wakati bado haujautembelea mkoa upo vizuri ujenzi wa gorofa zipo zinajengwa Tena za kutoshaView attachment 2273401View attachment 2273405View attachment 2273411
Tulia dose ikuingieNi aibu ,bora ungeacha tu kupost hizo picha
KAHAMA ,NSSF house .nipostie uwekezaji wa NSSF njombe ili ninye toka mwanza hadi darTulia dose ikuingie