The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
👇Bas subiri siku mkijengewa ndo uje na hoja ndala zako
Sasa sijui mtakua na project gan ambayo mwanza haitakuwepoView attachment 2264843View attachment 2264844
👇Bas subiri siku mkijengewa ndo uje na hoja ndala zako
Sasa sijui mtakua na project gan ambayo mwanza haitakuwepoView attachment 2264843View attachment 2264844
Navyo vilianza kwenye makaratasi..Unazungumzia vitu ambavyo mwanza vipo completedView attachment 2264891View attachment 2264892
Wakati mnafikiria kujenga stendi ,Navyo vilianza kwenye makaratasi..
Bila shaka ya Mbeya itakuwa nzuri na kali kuliko hiyo yenu.
Picha ya kwanza ni hotel ya MS COMPANY inayojengwa maeneo ya capripoint naomba kuuliza?Wakati mnafikiria kujenga stendi ,
Wenzenu wanafanya investment za maana juu ya ziwa
Wenzenu wanafanya miradi mizito , kwenye ground ....endeleeni kusubiri igawa road ...View attachment 2265093View attachment 2265095View attachment 2265096
Ni capri height hotel ,,,,ambayo ndo hiiView attachment 2265145Picha ya kwanza ni hotel ya MS COMPANY inayojengwa maeneo ya capripoint naomba kuuliza?
Hii ni upande wa juu nazaniNi capri height hotel ,,,,ambayo ndo hiiView attachment 2265145View attachment 2265146
Huu ni upande wa chini kuelekea ziwa victoria.
Ngoja niwaache ,,,maana ni kuwaonea tu ..Huu ni upande wa chini kuelekea ziwa victoria.
Hizi picha usipoteze muda kuleta humu kwa viswaswadu wakina the sunk cost bwege inabidi upeleke kwenye uzi wetu wa Mwanza city gallery.Ngoja niwaache ,,,maana ni kuwaonea tu ..
Umenena kakaHaya picha usipoteze muda kuleta humu kwa viswaswadu wakina the sunk cost bwege inabidi upeleke kwenye uzi wetu wa Mwanza city gallery.
Home sweet home
Sorry, Kahama tulishahama kutoka huko Halmashauri za mijiMkoa wa njombe up full Kila idara
View attachment 2271925
👇S
Sorry, Kahama tulishahama kutoka huko Halmashauri za miji