Kahama VS Njombe/Mafinga


Nafaham yote hiyo, ni mdau wa Kusini ile kusini na Nyanda za juu kwanza kwa kuzaliwa kiasili lakini pia kwa kuishi na kuolea nyanda za huko, so naongea facts!
 
Hapa Ni makambako tc ,njo kahama mc ,njombe tc na tunduma tc view ya kutoka angani maana ndo miji inayoongelewa kwenye mada bado view ya mafinga tc
t


 
Leo narudi tena kivingine ndugu zangu Njombe inakimbia sana kwa mafinga na njombe mzunguko wa pesa upo halafu nawaibia siri Mbao ya njombe na mafinga kwa sasa inaenda sana Malawi, Zambia na Congo hivo nawasihi ndugu zangu wa kahama tusibishane sana kila mwaka fursa zinabadilika japo kahama inakimbia mno na nakiri kuna maendeleo lakini hawa jamaa kama wataenda hivi watakua na uchumi imara sana kuliko kawaida wanakilimo cha parachichi hiki kimewatoa mno, wana mbao ambayo wanaexport kwa sasa kuliko kawaida
 
Naomba tupambanie fursa na tuzichangamkie kama watanzania tuache ubishi nimepita pia chunya japo wana eneo dogo la uchimbaji nimekutana na vijana wa kisukuma na kinyakyusa akina lusajo na wenzao matusi yao kipesa sio madogo, wafanyabishara wa dhahabu chunya wanaoruka dubai na canada wanapesa utahisi wanatoa photocopy
 
Lakini pia kusini hasa Songea wanamakaa yao ya mawe naona wenyeji akina mdaka five na feo na wengine wameanza kubeba makaa wanamalori mengi wanapeleka nje hasa uganda hapo bado kampuni kibao zinachukua makaa kule kumefunguka kule tuache ubishi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…