Sifurahishi wananzengo jibu hoja zangu hapo juu mkuu
Wakati wengine wamepewa bure madini wengine wanayapanda kwakutumia akili .Unajua kwanini Njombe imekua ya 3, Katika Mikoa tajiri Tanzania ?, Wakati imekua Mkoa miaka 5 tu iliopita, Sababu ni wajanja katika biashara. Kuanzia Upangwa(Ludewa), Ukinga (Makete) hadi maeneo mengine wanachakarika sana ata kama eneo ni dogo. Wanalima kilimo biashara ata iwe Mahindi kuliko maeneo mengine(ambao wao wanafanya Kilimo kula). Ingawa kwa sasa uchumi ni mgumu kokote pale lakini huwezi linganisha maeneo ya madini na yasio ya madini. Njombe wametumia akili kwa kupanda miti, kahama wamepewa madini bure na Mungu.
Unaitikia kichocheo cha hisia zako sio? Weka picha acha porojo,kwa msingi wa idadi ya wakaazi hata kasulu ni kubwa but vipi quality ya life baina ya migodini na mjini Njombe? Usifananishe Njombe na vimiji vya ajabu ajabuKijeli za kwenye mtandao hazitakusaidia ,naishi Njombe,kahama naijua vzr na tarehe 19/7 /2019 nilikuwa kahama kikazi, nilikuwepo kwa cku zaidi ya 51,kwahiyo kahama iko mbali na hata huwezi zilinganisha kwa majengo na ukubwa wa mji plus population,na hizo nilizozikuta ndo balaa kbs.Kahama ni mji mkubwa sana ,na hao wasukuma unaowaona usangu kimuonekano si wale walioko mwanza, shy,geita, tabora hadi simiyu.Kukaa kwny computer yk na kuanza lumbana siyo hoja,coment zako zimekaa kiutani zaidi na mbwebwe ili mradi tu Njombe iwe mshindi,watu wametulia hawataki tena league na ww maana kahama huijui ki hakika.
Mkuu unatudhalilisha wanyaki wakalibiane na nani? Sisi ndio tumejenga miji yao yote ikiwemo Mbeya wewe umewahi ona wanyaki wamejenga Njombe Iringa Mbeya au Mafinga? Tutake radhi watu wa Njombe ni jamii ya watu wa koreaWakati wengine wamepewa bure madini wengine wanayapanda kwakutumia akili .
Ukitoa janga la ukimwi(sababu ya baridi kali msuguano lazima)watu wa njombe ni jamii za watu wenye uwezo mkubwa kiakili na kiuthubutu kwa nyanda za juu kusini hapo wanaweza karibiana na wanyaki
Kuzidiwa kulitokana na uwekezaji wa migodi sie baada ya kupewa mkoa sasa tunawekeza kwa kasi kubwa sana tunakuja hadi huko gulioni Kahama kuchuma pesa za manamba tunazipeleka Njombe ndio maana mna gdp kubwa but poor life hakuna muwekezaji mwenye akili timamu ataweka long run investments huko machimboni huoni magorofa huku Njombe yanasimama kwa fujo? Floor 8,7,6 .Kahama huko ni gulioni sio liveable townMtu mfupi kwanini Njombe mji imezidiwa na Kahama mji sasa?
.
Nilikwambia sehemu yenye dhahabu sio sawa na sehemu yenye mavichaka mamiti miti kama Njombe
Acha dharau kuita kakahama kahama nimji wa nane tanzania kwa idadi ya watu ulinganishe na shinyanga mji wa kuminasaba kwa idadi ya watu kahama kunajamu ya magari sasa juzi tu wamefunga taa za kuongozeaagari hapo katikati ya mji kahama inatakiwa ijitegemee iwe mkoa kama ilivyo njombe uone shinyanga itavyogeuka pori lenye mabati mengiHapana, ka kahama kadogo kwa shy. Sema kibiashara khm imechangamka sana.
Inawezekana kahama ikawa ni moja kati ya wilaya iliyochangamka na watu wake wana pesa kuliko wilaya zote tanzania.
Hata Mimi kahama naikubali.Acha dharau kuita kakahama kahama nimji wa nane tanzania kwa idadi ya watu ulinganishe na shinyanga mji wa kuminasaba kwa idadi ya watu kahama kunajamu ya magari sasa juzi tu wamefunga taa za kuongozeaagari hapo katikati ya mji kahama inatakiwa ijitegemee iwe mkoa kama ilivyo njombe uone shinyanga itavyogeuka pori lenye mabati mengi
Nimecheka sana, Iringa mji mgumu na tunaoishi ni wagumu vile vile..ukiweza kuishi Iringa hakuna sehemu itakushinda Tz hiiKama nakuelewa hivi, Watu wanakimbia Iringa na Songea wanaenda Njombe, Njombe kuna fursa ya kuanzia. Ila Iringa kah, Mji mgumu sana.
Big slum full of poor manambas wanaotegemea kujikimu kwenye makinikiaAcha dharau kuita kakahama kahama nimji wa nane tanzania kwa idadi ya watu ulinganishe na shinyanga mji wa kuminasaba kwa idadi ya watu kahama kunajamu ya magari sasa juzi tu wamefunga taa za kuongozeaagari hapo katikati ya mji kahama inatakiwa ijitegemee iwe mkoa kama ilivyo njombe uone shinyanga itavyogeuka pori lenye mabati mengi
Njombe ni mahali huwezi kulinganisha na kahama. Njombe ina fursa nyingi zisizoisha na zinaongezeka kadri siku zinavyokwenda na watu kuongezeka. Sema kwa muda mrefu njombe ilikuwa inaibeba iringa kwani ilikuwa inakusanya mapato mengi ili yalikuwa yakipelekwa mkoani( iringa ) na njombe kuambulia mabaki tu. Ila ipeni njombe miaka kama mitano itakuwa haishikiki kwani imeshajitenga na mnyonyaji(iringa)Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Njombe inakusanya mapato mengi sana yatokanayo na TRA kuliko kule Kahama jangwaniNjombe ni mahali huwezi kulinganisha na kahama. Njombe ina fursa nyingi zisizoisha na zinaongezeka kadri siku zinavyokwenda na watu kuongezeka. Sema kwa muda mrefu njombe ilikuwa inaibeba iringa kwani ilikuwa inakusanya mapato mengi ili yalikuwa yakipelekwa mkoani( iringa ) na njombe kuambulia mabaki tu. Ila ipeni njombe miaka kama mitano itakuwa haishikiki kwani imeshajitenga na mnyonyaji(iringa)
Acha dharau kuita kakahama kahama nimji wa nane tanzania kwa idadi ya watu ulinganishe na shinyanga mji wa kuminasaba kwa idadi ya watu kahama kunajamu ya magari sasa juzi tu wamefunga taa za kuongozeaagari hapo katikati ya mji kahama inatakiwa ijitegemee iwe mkoa kama ilivyo njombe uone shinyanga itavyogeuka pori lenye mabati mengi
Kaka haupo sahihi nadhani hujawahi kufika tunduma pekee ungetulia kimya usingesema ulichosema
Unaitikia kichocheo cha hisia zako sio? Weka picha acha porojo,kwa msingi wa idadi ya wakaazi hata kasulu ni kubwa but vipi quality ya life baina ya migodini na mjini Njombe? Usifananishe Njombe na vimiji vya ajabu ajabu
Hahaha buda Geita ya 2016 sio ya leo nenda ushangae bajaji zimeenea japo hawaifikii Singida bajaj ni nyingi kama watuHata Mimi kahama naikubali.
Kwenye kanda ya ziwa baada ya jiji la mwanza Bukoba inafata then kahama inafuata.
Hiyo shy,musoma sijui geita zote zinazidiwa na kahama
Wewe bibi tulia upate dozi ya Njombe,usifananishe Njombe na vimiji vya machimboni na wafugaji kama Kahama ,cheki picha mdau kaweka wewe weka za huko kwa wachuuziah wap...! quality kahama iko juu ww..huenda wa njombe umeishi miaka hii hii hapa! kahama watu wanatumia pesa ww!hebu acha bas
Umehamia Geita ππππ Njombe kiboko weka picha za huko migodini wadau wanazidi kutiririsha pics za Njombe nchi ya ahadiHahaha buda Geita ya 2016 sio ya leo nenda ushangae bajaji zimeenea japo hawaifikii Singida bajaj ni nyingi kama watu
Wewe bibi tulia upate dozi ya Njombe,usifananishe Njombe na vimiji vya machimboni na wafugaji kama Kahama ,cheki picha mdau kaweka wewe weka za huko kwa wachuuzi