Mimi huwa nashangaa sana, kufananisha mizania ya mji na uchangamfu wa vurugu za usiku, wenyewe wanasema mji umechangamka, ikiwa kuna mji hauna hulka ya vilabu vya pombe na Bar kubwa kubwa basi huitwa huo mji haujachangamka! Lakini kila watu na taratibu walizojiwekea