Kahama VS Njombe/Mafinga

Mkeo ndio dogo.Nani ambae hajaishi? Afu kama uliishi Njombe enzi hizo unajidanganya Rudi kaishi upya afu ulinganisho na huko uswahilini..
Unaweza ukawa mke wangu pia maana una maneno ya kike
Nimekwambia nimeishi kote njombe na kahama ila kahama ipo vizuri zaid huo ni mtizamo wangu mimi sijakuzuia ww uwe na mtizamo wako tofauti Sasa taarabu za nini? We endelea kuamini unavyo amini ila watu walioishi hizo sehem kibiashara ukweli wanaujua
 
Ilemela ni Mkoani eti???
 
Vizuri kwa kipi we choko,Picha na Takwimu zinajieleza unaleta feelings za nyege badala ya supportive evidences?
 
Afu hiyo nafasi mko ni ya Geita na Chalinze DC,ko usijifariji mkuu ndio kwanza ni miezi 6 tuu hadi June 31 utajua hujui.
 
Na kazi imeanza tayari wafanyabiashara wamesha ambiwa wajiandae kupisha ujenzi wa soko kuu wanataka wajenge la gorofa ambalo litakuwa kubwa ukanda huu

Wafanyabiashara makambako waliambiwa habari za kupisha ujenzi wa soko kubwa ukanda wa nyanda za juu kusini ambalo soon linaanza kuje
 
Na kazi imeanza tayari wafanyabiashara wamesha ambiwa wajiandae kupisha ujenzi wa soko kuu wanataka wajenge la gorofa ambalo litakuwa kubwa ukanda huu
Ila Makambako mnatuaibisha Sana yaani Mji mzima mnakusanya vimapato kiduchu kama Ludewa DC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…