Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama 😛😛😛
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2021-12-01 at 8.49.35 AM.mp4
    10.2 MB
Njooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mmetisha aiseeee
 
Wewe unaendaga na Mkeo kliniki?
 
Haya naona mtu mwenye fedha yake baada ya kuona fursa zinaongezeka ndani ya mji wa makambako kaamua kuanza kujenga shopping mall yenye ukubwa sawa na soko kuu la kisutu na bado na mabilionea wengine wanazidi kuonyesha umwamba wa pesa ndani ya mji wa makambako tulisema time will tell
 
Naijua Arusha, sijahadithiwa Boss
Arusha ziko duka tatu za little more,moja ni kubwa mara 5 ya hilo jengo la makune hapo stand,then inakuja ingine hapohapo uhuru road jirani na steelcentre,lingine liko uhuru road b4 equity bank...arusha kwenye ligi yenu usihushishe
 
How Young Tanzanians Are Making BILLIONS From Tree Farming


Young Tanzanians are Making a lot of money from tree farming. This interview highlights what it takes to start tree farming business and how you can make profit. If you found this video useful, please consider to subscribe, like and share this video to your loved ones.
Source : Malango travels
 
Sijawai fika kahama kunavitu vinanifanya nijiulize kwanini kahama?

*Kahama wanaenda njombe kufuata mbao.
*Wanjombe wanaenda kahama kuuza mbao.
*wapo Wafanyabiashara wanaacha biashara njombe wanaenda kahama kufanya biashara mfano vifaa vya ujenzi.
  • kuna mfanya biashara alisema ametembelea kahama hajaona majengo ya kahama yakufananisha na ya njombe.. Kwamba ujenzi wa kahama niwakisasa zaidi.
  • pia kasema kodi za frem za biashara kahama kuona laki 5 kwa mwezi kawaida tofauti na njombe ambapo inacheza laki 2 hadi 3 kwa mwezi.

Hii inanifanya nione kahama ni mjini huku njombe ni shambani kwani ipo vizuri kiuzalishaji wa malighafi. Ila biashara IPO kahama.
Njombe nafasi iliyopo ni ya kimkoa zaidi
 
Hayo majengo ya Kahama yako wapi? Viroboto kwa kujifariji mko vizuri 😂😂😂😂
 
Kwanza wanawashangaa kuendelea kulinganisha uswekeni na mjini. Huko Njombe ni porini tu waendelee kuvuna mbao ambazo hazijakomaa. Kahama ni mji wa biashara na unafikika na nchi nyingi za maziwa makuu hadi Sudan Kusini. Unalinganishaje mlima kilimanjaro na kichuguu cha mchwa ?
 
Hivi watu wa Njombe hasa hii wilaya ya Ludewa wana matatizo gani?? Haya ni matukio ambayo yameripotiwa kutoka Ludewa kwa muda mfupi kama miezi 2. Nafikiri hayo ni baadhi huenda kuna mengi yanatokea na hayalipotiwi, kuna haja ya serikali kupeleka elimu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…