Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,922
Huku ndio kutapelowa au vipi? πMmetapeliwa na hakuna kilichonyooka. Kwanza kuishi Njombe yataka moyo. Nani akaishi uswekeni huko kama nyani na miumande hiyo. Fyuuuu. Poleni sana.ndio maana mnakula mbwa.
Hatimaye πππKusini kumesahaulika Rais haji kuna mavumbi π€£π€£..
Samia ndani ya Mbeya π
View attachment 2019718
View attachment 2019719
Siku kuu yao bhuana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kusini kumesahaulika Rais haji kuna mavumbi [emoji1787][emoji1787]..
Samia ndani ya Mbeya [emoji116]
View attachment 2019718
View attachment 2019719
Na hii ya kwenu vipi?ππSiku kuu yao bhuana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijisahaulishe Kwamba alikuwa huko kwa ajili ya siku kuu ya Sukuma landa cancer ππHatimaye πππ
Sikukuu ya mbeya land
Ujenzi wa barabara za vijijini wilayani misenyi unaendelea.Usijisahaulishe Kwamba alikuwa huko kwa ajili ya siku kuu ya Sukuma landa cancer [emoji23][emoji23]
View attachment 2021126
View attachment 2021127
Naona mapori ya migomba tuu hapo ππ ,ndio nyumba zenu ?Ujenzi wa barabara za vijijini wilayani misenyi unaendelea.
Tazama na nyumba piaView attachment 2021494View attachment 2021495View attachment 2021497
Hiyo migomba ndo inakulisha mbwa wew....Naona mapori ya migomba tuu hapo [emoji23][emoji23] ,ndio nyumba zenu ?
Kwamba hujaona hilo jumba, [emoji23][emoji23][emoji23] unajitia upofu ili usione maendeleo ya BukobaNaona mapori ya migomba tuu hapo [emoji23][emoji23] ,ndio nyumba zenu ?
Majumba ni kama haya huku ...Sweet Sumbawanga πKwamba hujaona hilo jumba, [emoji23][emoji23][emoji23] unajitia upofu ili usione maendeleo ya Bukoba
Kwa hiyo tofauti na hoteli huko vijijini mnaishi mapangoni au??Majumba ni kama haya huku ...Sweet Sumbawanga [emoji116]
View attachment 2021955
View attachment 2021956
View attachment 2021959
View attachment 2021960
Yaani tuhoteli twenu huko mji mpauko tunazidiwa na nyumba za kuishi Bukoba vijijini [emoji23][emoji23]Majumba ni kama haya huku ...Sweet Sumbawanga [emoji116]
View attachment 2021955
View attachment 2021956
View attachment 2021959
View attachment 2021960
Halafu tukijenga barabara za lami vijijini mnatubeza .Majumba ni kama haya huku ...Sweet Sumbawanga [emoji116]
View attachment 2021955
View attachment 2021956
View attachment 2021959
View attachment 2021960
Hizo road unaweza Kuta ni za Tanroads zinakatisha kwenye migomba afu mtu anasema wanajenga barabara Vijijini ππ.Halafu tukijenga barabara za lami vijijini mnatubeza .
Yaan huko hadi mijini lami ni shida
Acha kuhangaika hizo ni barabara zinaenda vijijiniHizo road unaweza Kuta ni za Tanroads zinakatisha kwenye migomba afu mtu anasema wanajenga barabara Vijijini [emoji1][emoji1].
Kama ni shida onyesha lami kama hii hapo Bukoba village town [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2022187
View attachment 2022188
View attachment 2022189
View attachment 2022190
View attachment 2022191
View attachment 2022192
Kama hiyo ndio hoteli sijui hii hapa itaitwa nini? ππYaani tuhoteli twenu huko mji mpauko tunazidiwa na nyumba za kuishi Bukoba vijijini [emoji23][emoji23]View attachment 2022054View attachment 2022055