Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Utaendelea kuaibika mkuu ππ,Usicheze na watu wa Njombe(Wajinga)..Wahaya sijui wanafanya nini kwenye listi ikiwa kila Habari mbaya wapo,huo utajiri wao unatoka wapi ikiwa mkoa wao ni maskini was kutupwa?Kamwe hawawezi kuwa, ndo maana kwa udumavu wenu mmebaki kuwa wajinga na masikini, duh! Kanda nzima mmedumaa Afya ya mwili na Afya ya akili!! Hapo ukiweka top 7 na mbeya inaingia, ila njombe ndo namba moja kwa udumavu nchini.
Masikini ambao wanakula vizuri, lishe Bora na hawadumai ni bora sana kuliko wale masikini wenye lishe duni, hawali wakashiba na wamedumaa akili na afya.Nimekuuliza hapo juu kwa nini waliodumaa wanaongoza kuwa wafanyabiashara wakubwa Nchini hujajibu..Sasa ndugu kama kudumaa kumeniganya kuwa engineer bora niendelee kudumaa,huu ni udumavu wenye maana kumbe nisingekuwa nimedumaa ningekuwa kama Einstetein .
Meanwhile maskini wakubwa Hawa hapa
View attachment 1978411
View attachment 1978413
Utapoyea,Ukweli kamili huu hapa πMasikini ambao wanakula vizuri, lishe Bora na hawadumai ni bora sana kuliko wale masikini wenye lishe duni, hawali wakashiba na wamedumaa akili na afya.
Kwa hiyo kule kwingine namba moja njombe, na huku kwingine namba moja Rukwa, yaani nyie mnashika namba moja tu
Unascreenshot tweet ya mhaya mmoja hivi afu unakuja nayo hapa kujifarijiUtaendelea kuaibika mkuu,Usicheze na watu wa Njombe(Wajinga)..Wahaya sijui wanafanya nini kwenye listi ikiwa kila Habari mbaya wapo,huo utajiri wao unatoka wapi ikiwa mkoa wao ni maskini was kutupwa?
Eti hao ndio wenye utapiamlo,Wakinga hoyee
View attachment 1978427
Wenye lishe duni wanaweza fanya haya? πLeshe duni utakuwaje stable?
Za kuambiwa πUnascreenshot tweet ya mhaya mmoja hivi afu unakuja nayo hapa kujifariji, serikali imesema njombe inaongoza nchini kwa udumavu wa akili na afya.
Siku zote masikini hali na kushiba
Haya matunda ya miamia yoote mnatuuzia sisi afu pesa mnaenda kunywa ulanzi na ndo maana mmedumaa na sie tunachana tu
Barabara imejengwa na serikali hiyo ambayo nyie huko kwenu hamjawahi kuiongoza wakati sie huku tumeiongoza kwa miaka 30, tuliwaonea huruma tukawajengea hiyo.
Acha kukurupuka wewe,hapo nakufikishia ujumbe kwa njia ya picha,huu sasa ndio udumavu wenyewe yaani unashindwa kuchanganua hiyo barabara na alama ya barabara? ππ..Barabara imejengwa na serikali hiyo ambayo nyie huko kwenu hamjawahi kuiongoza wakati sie huku tumeiongoza kwa miaka 30, tuliwaonea huruma tukawajengea hiyo.
Hii haiindoi njombe kuwa namba moja kwa Udumavu nchini.Acha kukurupuka wewe,hapo nakufikishia ujumbe kwa njia ya picha,huu sasa ndio udumavu wenyewe yaani unashindwa kuchanganua hiyo barabara na alama ya barabara?..
Ndio maana mlikuwa hamtumii akili badala yake mkawa mnafanya hivi
View attachment 1978460
Achaga upimbiUmevimbiwa Michembe unakuja kujamba jamba hovyo,jipya gani umeliona hapo?
Kwa takwimu gan arusha inaizid mwanza ππKwetu hatuna shida ndogo ndogo kama zinazowakabili nyie,pili Kusini kila kitu ni uhakika kwa hiyo hakuna sababu za viongozi kuhangaika na Kusini,huko kwenu ni Kanda kama maji tuu ni mziki mnene sasa lini uliwahi ona hata kwenye TV Kusini maji yanasumbua?..
Serikali isipoleta tunachomba chini na kwenye moto yapo ya kutosha sasa sehemu kama hii utalinganisha vipi na huko semi arid? Zebaki na radio zitawamaliza nyie watu wa Lake zone.
Baada ya Dar ni Arusha,Mwanza ni Kambi kubwa ya maskini hamna kitu huko.
Leta yako iliyo sawa msemaji wa jamii forums ππππ wahi tuwahi mzee tunasubur takwimuKwa akili yako ya kisoda unaona hii taarifa iko sawa?
Ok. Sikujua kama ni mwehu,sorryKwetu hatuna shida ndogo ndogo kama zinazowakabili nyie,pili Kusini kila kitu ni uhakika kwa hiyo hakuna sababu za viongozi kuhangaika na Kusini,huko kwenu ni Kanda kama maji tuu ni mziki mnene sasa lini uliwahi ona hata kwenye TV Kusini maji yanasumbua?..
Serikali isipoleta tunachomba chini na kwenye moto yapo ya kutosha sasa sehemu kama hii utalinganisha vipi na huko semi arid? Zebaki na radio zitawamaliza nyie watu wa Lake zone.
Baada ya Dar ni Arusha,Mwanza ni Kambi kubwa ya maskini hamna kitu huko.
The Government of United Rebublic of Tanzania chini ya Samia Suluhu Hassani vs Mchimba viazi wa maketeBaada ya Dar ni Arusha,Mwanza ni Kambi kubwa ya maskini hamna kitu huko.
Usisahau kwamba Hali halisi yenu ni πThe Government of United Rebublic of Tanzania chini ya Samia Suluhu Hassani vs Mchimba viazi wa maketeView attachment 1978880
WEhu Wanatokea kwenye Hali hii hapa πOk. Sikujua kama ni mwehu,sorry
Yangu ni hii hapa πLeta yako iliyo sawa msemaji wa jamii forums ππππ wahi tuwahi mzee tunasubur takwimu