Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Umuhimu 😂😂..Ni hivi hizo ni sehemu zenye maskini wengi Sana na zinatakiwa kuwa uplifted kimaisha ndio maana wanajaribu kuwavuta mfike hapa 👇Baada ya pwani na kanda ya ziwa inafuata kaskazini, kusini ni ya Mwisho kabisa huko mkiani, Leo tena Rais yuko kanda ya ziwa kwa mara nyingine, yaani yeye anarudiarudia pwani na kanda ya ziwa tu, ila kwa Sasa itabidi aende kaskazini make ndo kanda inayofuatia kwa umuhimu katika nchi hii baada ya Pwani na Lake zone, Kusini nyie ni wa mwisho mkiani kabisa
,ila tulieni ipo siku atakuja japo kuwazuga kidogo make nyie mmetengwa.View attachment 1973820
, ila kwa Sasa itabidi aende kaskazini make ndo kanda inayofuatia kwa umuhimu katika nchi hii baada ya Pwani na Lake zone, Kusini nyie ni wa mwisho mkiani kabisa


