Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwamba sufuria la kisasa sio bora kuliko sufuria alilotumia babu yako?? Mkuu hauko serious sababu kisasa inakuja ku-solve mapungufu ya asili
Mazingira sio sufuria ndio maana unakuta Dunia inahangaika na ku restore mazingira na kulinda asili usitoe irrelevant example hapa.
 
Mazingira sio sufuria ndio maana unakuta Dunia inahangaika na ku restore mazingira na kulinda asili usitoe irrelevant example hapa.
Angalia hapa alafu linganisha na asili yako View attachment 1954960
94.jpeg
 
Narudia Njombe.

Njombe ni Mkoa wa kimkakati ,mabalozi wa European Economic Commission (EEC) walikuwa ziarani wiki iliyopita kuangalia utekelezaji wa miradi ya Agri-Connect ..

Mind you Mradi wa Agri Connect unasapoti horticulture,masoko na ujenzi wa barabara za lami kuelekea maeneo ya uzalishaji..

Sasa endeleeni kupiga porojo za nyumba Vijijini siku tukitoa Takwimu mnaongoza kwa umaskini msijeanza kulia Lia humu..

Go Njombe go 👇

Screenshot_20210927-200543.png

Screenshot_20210927-200609.png
 
Narudia Njombe.

Njombe ni Mkoa wa kimkakati ,mabalozi wa European Economic Commission (EEC) walikuwa ziarani wiki iliyopita kuangalia utekelezaji wa miradi ya Agri-Connect ..

Mind you Mradi wa Agri Connect unasapoti horticulture,masoko na ujenzi wa barabara za lami kuelekea maeneo ya uzalishaji..

Sasa endeleeni kupiga porojo za nyumba Vijijini siku tukitoa Takwimu mnaongoza kwa umaskini msijeanza kulia Lia humu..

Go Njombe go

View attachment 1954986

View attachment 1954987
Kila sehemu ina fursa zake, leo naibu Waziri wa ujenzi amekagua ujenzi wa meli mpya katika ziwa Victoria itakayofanya kazi nchi tatu TZ, Kenya na Uganda
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
nyie jamaa mko local sana hebu linganisha sasa uoto wako wa asili na huu wa Bukoba View attachment 1954873

Mimi namvumilia tu.
Nishajua ni mshamba kiasi gan .

Just imagine eti hapa ni mjini
Na anapost Bila aibuView attachment 1954916View attachment 1954917

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
We jamaa una matatizo ndio maana nawatukanaga sasa hapo wewe unaona kuna shida gani kukiwa mjini?

Masika hayo maeneo yanafanana hivi 👇

Screenshot_20210923-091425.png

Screenshot_20210914-222550.png

Screenshot_20210918-080009.png

Screenshot_20210918-075946.png
 
Mazoezi ya yanga katika uwanja mzr Sana wa kaitaba mjini bukoba.

Kusini nzima hakuna uwanja wenye nyasi bandia Kama kaitaba
Huko Kuna viwanja vya vumbi tuView attachment 1955127View attachment 1955128View attachment 1955129View attachment 1955130View attachment 1955131View attachment 1955132

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Huu uwanja labda kwa mbali unaweza karibia uwanja wa Ihefu fc.

Uwanja wenu uko katika ya pori/mashamba na hauna hata majukwaa ya kukaa mashabiki.😂😂

Highland Estate stadium Mbarali👇

Screenshot_20210928-081344.png

Screenshot_20210928-081123.png

Screenshot_20210928-081206.png

Screenshot_20210928-080853.png
 
Leo mapokezi ya yanga mjini bukobaView attachment 1955126

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Very local ,huo sio uwanja(stadium) ni football ground inafaa kwa maziezi na kuchezea watoto.

Ni aibu TFF kuruhusu kiground kama hicho kwenye mashindano makubwa.

Uwanja wenye hadhi unachezewa na fainali..

Nelson Mandela stadium Sumbawanga 👇

Screenshot_20210928-080640.png

Screenshot_20210928-080000.png

Screenshot_20210928-080518.png

Screenshot_20210928-075946.png

Screenshot_20210928-075955.png

Screenshot_20210928-075925.png

Screenshot_20210928-075920.png

Screenshot_20210928-075856.png

Screenshot_20210928-075807.png

Screenshot_20210928-075800.png

Screenshot_20210928-075737.png

Screenshot_20210928-075657.png

Screenshot_20210928-075704.png

Screenshot_20210928-075709.png

Screenshot_20210928-075828.png

Screenshot_20210928-075914.png
 
Nimeamua nikucheke tu

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom