Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Uchafu hako ka ground ka watoto,nyasi bandia zinawekwa hata kwenye urembo wa maduka..Unalinganisha nyasi bandia na na huo uchafu kweli, TFF kushirikiana na azam soon watafunga taa ili mechi zichezwe na usik
Kama huna taarifa taa zitafungwa viwanja vinne tz nzima ila huko kusini hamna hata kimoja, kaitaba cha Bukoba, cha Dodoma, Kasim majaliwa cha Lindi na mkwakwani TangaUchafu hako ka ground ka watoto,nyasi bandia zinawekwa hata kwenye urembo wa maduka..
Onyesha taa zinazowezesha kuchezwa mechi usiku au unateseka?
Zita πππππ πKama huna taarifa taa zitafungwa viwanja vinne tz nzima ila huko kusini hamna hata kimoja, kaitaba cha Bukoba, cha Dodoma, Kasim majaliwa cha Lindi na mkwakwani Tanga
Bora "zita" ila kusini hamna kabisaZita
Kuna mgodi mkubwa wa dhahabu wa BarrickKahama kuna nini ambacho hakipo kwingine?
Yaani pesa za dhahabu ufananishe na pesa za mbao we kweli unachekesha, mbao hadi mpande miti mje mvune ni liniYaani kwenye mapesa mengi ya mbao na kila mazao ndo ulinganishe na Kahama bush huko?
Eri miti ina risk ya kuchomwa moto halafu unakuta mradi umeusubiri kwa miaka 7-10 wakati huku kahama Kama una mtaji wako ni miezi 4 tu unapata mamilioni au bilion kadhaa Sasa kwenye mbao bilion unaipata kwa kulima heka ngapi za mitiKuifananisha Njombe na Kahama ni utovu wa nidhamu, Kahama mji mkubwa sana hapa Tanzania na una mchanganyiko wa watu wengi, una biashara nyingi tofauti na madini, ni Mji ambao ni kiungo cha nchi zinazopakana na Tanzania upande wa Magharibi.
Njombe ni mji mdogo ambao unategemea zaidi Wakinga na Wabena wapande Miti ili kupata mbao ambapo hapo unaongelea miaka 7-10 ukianza hicho kilimo tarehe ya leo. Na mjue miti ina risky za kuchomwa moto nk.
Bwege wewe watu masikini wakati soko la dhahabu Kila siku mauzo ya mabilioni kutoka kwa wachimbaji wadogoLakini kahama ni mji wa watu masikini licha ya kuwa na migodi
Ulizia upate takwimu za mauzo ya Kila siku kwenye soko la dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo halafu ndo utajua ni masikini au ubwege wa kutokuwa na takwimu ndo unakusumbua na ushamba na ubishi na kutokuwa na elimu.Sasa Kahama utaitenganishaje na usukuma ushamba na umasikini
Waeleze waelewe maana wamekalia ubishi tuKAHAMA: Utachukua mchele unaouzwa Uganda, Rwanda, Congo, South Sudani
Hivyo nilivyopost ni vya Lake zone? ππBora "zita" ila kusini hamna kabisa
Mgodi mkubwa umewasaidiaje kuondoa umaskini hapo kwenye Mji wa barabara moja?Kuna mgodi mkubwa wa dhahabu wa Barrick
We akili huna,kwa hiyo dhahabu ukifika unaokota tuu? We kajinga Sana ππππ..Yaani pesa za dhahabu ufananishe na pesa za mbao we kweli unachekesha, mbao hadi mpande miti mje mvune ni lini
Kama ni rahisi hivyo mbona manaongoza kwa umaskini? Kwamba Kahama sasa inaongoza kwa mamilionea kwa sababu Wana mitaji ya 400k..ππππ..Eri miti ina risk ya kuchomwa moto halafu unakuta mradi umeusubiri kwa miaka 7-10 wakati huku kahama Kama una mtaji wako ni miezi 4 tu unapata mamilioni au bilion kadhaa Sasa kwenye mbao bilion unaipata kwa kulima heka ngapi za miti
Hao ni maskini wa kutupwa,mauzo ghafi ni makubwa kuliko faida , biashara gani ambayo unawekeza mtaji mkubwa afu return yake hailingani na uwekezaji..Ulizia upate takwimu za mauzo ya Kila siku kwenye soko la dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo halafu ndo utajua ni masikini au ubwege wa kutokuwa na takwimu ndo unakusumbua na ushamba na ubishi na kutokuwa na elimu.
Mauzo yanayowafaidisha middlemen wewe matako yanakusaidiaje wewe manamba mbena sululu? Unajua migodini kunaongoza kwa umaskini?Bwege wewe watu masikini wakati soko la dhahabu Kila siku mauzo ya mabilioni kutoka kwa wachimbaji wadogo
Nitumiwe no.ya whasap nikuoneshe uone Sasa hv nafanya nn nasubiri niuze dhahabu yangu ya gram 1200Kama ni rahisi hivyo mbona manaongoza kwa umaskini? Kwamba Kahama sasa inaongoza kwa mamilionea kwa sababu Wana mitaji ya 400k....
Kituko cha mwaka ,we jamaa umewahi shika hata mil.10 maana unavyoongea na mashaka na wewe.
Nataka namba ya mamilionea mnaotoboa kila mwaka ..Nitumiwe no.ya whasap nikuoneshe uone Sasa hv nafanya nn nasubiri niuze dhahabu yangu ya gram 1200