Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Migeyo and bilele streets bukoba downtown
images%20(86).jpg
JamiiForums-1769476174.jpg
8.jpg
images%20(82).jpg
96.jpg
18.jpg
100_2938.JPG
 
just imagine almost 60% ya kahawa yote nchini inatoka kagera.

Halafu anakuja pimbi wa kusini anasema kagera wavivu na maskini.


Kahawa ni zao la tatu nchini kuchangia Pato la taifa baada ya tumbaku na karafuu.
Kumbe hadi korosho mnaizidi kwa kuchangia pato la taifa eee..

Acha fix dogo..
 
Umesema inazidiwa na karafuu na tumbaku si ndio?? Yaani korosho kwenye top three haipo si ndio?
Point of correction.

Mazao matatu makuu ni kahawa,tumbaku na korosho.

Kagera ikizalisha 60% ya kahawa yote nchini.




Umeridhika we manka wa uru
JamiiForums1092745781.jpg
 
Unaleta data za 2018.. Huo mwaka aliyenunua Korosho ni tapeli wenu Magufuli..

Huwezi linganisha korosho na kahawa..
Kwan aliyenunua kahawa ni nani we kichaa wa uru.

Si mtu huyo huyo ama?


Hebu meza dawa upunguze ukichaa
JamiiForums1092745781.jpg
 
Sasa ndo unapost nyumba za vichakani eti ni mjini hapo
Vichakani ni huko migombani hapo ni mjini Mkuu..

Mbona mnawewwseka Sana,na nyie mbona mnapost nyumba za vichakani huko kwenye vijiji vyenu mnaita mjini?

Unaweza Jenga ghorofa kubwa kama hilo kichakani? Unataka ugundue nini?
 
Vichakani ni huko migombani hapo ni mjini Mkuu..

Mbona mnawewwseka Sana,na nyie mbona mnapost nyumba za vichakani huko kwenye vijiji vyenu mnaita mjini?

Unaweza Jenga ghorofa kubwa kama hilo kichakani? Unataka ugundue nini?
Tofautisha vichaka na mashamba, Bukoba tunapost mazingira ya vijijini(migomba) na mjini sasa ww unaleta nyumba zimezungukwa na vichaka et ni mjini sijui huko vijijini, labda ndo maana hamjaweka vijiji vyenu tukaviona
 
Back
Top Bottom