Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Tofautisha vichaka na mashamba, Bukoba tunapost mazingira ya vijijini(migomba) na mjini sasa ww unaleta nyumba zimezungukwa na vichaka et ni mjini sijui huko vijijini, labda ndo maana hamjaweka vijiji vyenu tukaviona
Miti ya uoto wa asili hiyo wewe ,imejaa mjini huoni hata barabara zetu zilivyojaa miti kama Ulaya?
 
Beach huwa zina mchanga unakuwa free kujiachia sasa hii beach ya mawe veepe? Hapa si ukijianika unakuwa kama kenge?
Ushamba utakuua kijana


Kuna aina nyingi za beach.
Sand beach, pebbles beach,stone beach nk.


Bukoba Kuna sand beaches za Kiroyera,spice,vive na kabuhara.
Kuna pebble beach ya Miami
Kuna stone beach za bunena na Eco beach.



Punguza ushamba
 
Rumuli kila siku? Tumekuchoka kurudia rudia vipicha vya hako kakanisa
Pole Sana.
Tulia dawa ikuingie




Bukoba cathedral
nbvdh.jpg
 
Ushamba utakuua kijana


Kuna aina nyingi za beach.
Sand beach, pebbles beach,stone beach nk.


Bukoba Kuna sand beaches za Kiroyera,spice,vive na kabuhara.
Kuna pebble beach ya Miami
Kuna stone beach za bunena na Eco beach.



Punguza ushamba
Bichi za kujibanika kama kenge zinawafaa wenyewe ndio maana huwezi Kuta foreigner hata mmja kwenye hizo beach zenu za mawe
 
Mtu akikuanza mmalize, matusi yangu ilikuwa ni reply ya matusi yako kwangu, hata Instanbul umemtukana sana pengine yeye haamini katika jino kwa jino kama mimi.
 
Ukuaji ni wa kasi kwa miji yote ila ni ukuaji holela, mipango miji wamejitenga na wananchi matokeo yake ujenzi holela unatamalaki.
Una Uhakika Na unachokisema,Tuulize sisi wazawa wa kahama,Jiji sio poa.Panga safari siku moja uende kutembea nina imani Utaandika uzi kuhusu kahama
 
Back
Top Bottom