The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Projects Under construction in Swax
View attachment 1950000
View attachment 1950001
View attachment 1950002



mmeziona jaman project za miji ya Kusini???Projects Under construction in Swax
View attachment 1950000
View attachment 1950001
View attachment 1950002



mmeziona jaman project za miji ya Kusini???Acha kujisifia na sifa za kijingaUmeelewa nilichoandika au umekurupuka?
Nakuona mshamba Sana.Barabara za mitaa Sumbawanga,nyundo kwa Bukoba village
View attachment 1949926
View attachment 1949927
View attachment 1949928
View attachment 1949929
View attachment 1949930
View attachment 1949931




mmeziona jaman project za miji ya Kusini???






Tutakapotoa Takwimu za umaskini msije sema mumeonewa,ndio utaelewa kama barabara na mall kipi cha maana..Nakuona mshamba Sana.
Hizo barabara unaona za maana![]()
Nitakuongezea na nyingine sio mda..kwanza Kagera kuna hata miji huko mbona vyote ni vijiji? 😁😁mmeziona jaman project za miji ya Kusini???
Kuna mavumbi kwa uongo.Tutakapotoa Takwimu za umaskini msije sema mumeonewa,ndio utaelewa kama barabara na mall kipi cha maana..
Kusini kusehaulika,kumetengwa ,kuna mavumbi Rais ana aleji![]()

Mbona wewe ulipost ofisi ya Madini ,Manispaa ya Bukoba nk? Kwani shida iko wapi?Kuna mavumbi kwa uongo.
Hadi ofisi ya mkuu wa mkoa
. ipo siku mtakuta nyoka ofisini kwa vichaka hivView attachment 1950351
Mimi nikianza kupost ofisi za serikali za mkoa utakimbia.Mbona wewe ulipost ofisi ya Madini ,Manispaa ya Bukoba nk? Kwani shida iko wapi?
Nyoka waache kuingia huko kwenu kwenye migomba ndio waje kuingia hapa ofisini?
Mzee acha kuweweseka,mapank kakimbia jukwaa baada ya kuishiwa ,,![]()
Ukianza au ulisha post? Hizo ofisi kuna Mkoa hazipo?Mimi nikianza kupost ofisi za serikali za mkoa utakimbia.
Husisahau bukoba ni makao makuu ya mkoa
Msikiti wa ijumaa uswahilini mjini bukobaUkianza au ulisha post? Hizo ofisi kuna Mkoa hazipo?
Msikiti mkuu wa istaqaama mjini bukobaUkianza au ulisha post? Hizo ofisi kuna Mkoa hazipo?
Alafu pamepauka hivo na watu wake watakuwa wamepaukaKuna mavumbi kwa uongo.
Hadi ofisi ya mkuu wa mkoa
. ipo siku mtakuta nyoka ofisini kwa vichaka hivView attachment 1950351
Sasa ndo unapost nyumba za vichakani eti ni mjini hapoMbona wewe ulipost ofisi ya Madini ,Manispaa ya Bukoba nk? Kwani shida iko wapi?
Nyoka waache kuingia huko kwenu kwenye migomba ndio waje kuingia hapa ofisini?
Mzee acha kuweweseka,mapank kakimbia jukwaa baada ya kuishiwa ,,![]()


Aisee anayejenga barabara za vijijini bukoba ni nani .Anapaswa kuongezwa Sana.Alafu pamepauka hivo na watu wake watakuwa wamepauka
Mtaa wa rumuli mjini bukobaUkianza au ulisha post? Hizo ofisi kuna Mkoa hazipo?
The oldest catholic church in lake zone.Ukianza au ulisha post? Hizo ofisi kuna Mkoa hazipo?
Ni mkandarasi wa hapa Bukoba nadhani kutoka kyaka, kuna project nyingi zinaendelea za ujenzi wa Barabara za lami vijiji na mjiniAisee anayejenga barabara za vijijini bukoba ni nani .Anapaswa kuongezwa Sana.
Juzi nilipita huko google Earth.
Naona lami ipo kibengwe km 30 kutoka mjini kuelekea bugabo
Na maruku inapita ntungamo kabisa