Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Mwanza tunacho mwaka wa 10 huu
Soma vizuri hiyo makala usi panic ndo ulinganishe na hicho usijue ni kiwanda kimoj
Soma makala hiyo ndo ujue makambako wamejenga viwanda vingapi sio kimoja Kama mwanza makambako vpo vinne
City centre au town centreKama umefika bukoba utakuwa unapafahamu Rwamishenye. Sasa jamaa kaingia Google Earth kaona bukoba ilivyojengeka Kule city center kaamua alete Rwamishenye km Kama tano kutoka mjini![]()
Hata hapavutiiiKusini sio kwa kusahaulika huko! Hadi kwenye movie ya Mh Rais mmesahaulika!! Shida hakuna location nzuri na Rais ana mzio na vumbi.
SAUT ya Mwanza ndo imewasogezea hilo tawi hapo.Mbeya City, maendeleo kila kona
View attachment 1937289
View attachment 1937290
View attachment 1937291
View attachment 1937292
View attachment 1937293
Kama kumesahaulika nionyesha barabara kama hii hapo poverty zone yote ya Kanda ya Ziwa👇Kusini sio kwa kusahaulika huko! Hadi kwenye movie ya Mh Rais mmesahaulika!! Shida hakuna location nzuri na Rais ana mzio na vumbi.
Hiyo ni branch ya Chuo cha Mwanza huko kwao, 🙂🙂🙂SAUT ya Mwanza ndo imewasogezea hilo tawi hapo.
Unaweweseka umeona linaitwa Saut hilo? Hiyo ni full fledged Catholic universitySAUT ya Mwanza ndo imewasogezea hilo tawi hapo.
Chuo cha Mwanza kinaitwaje na hichi kinaitwaje?Hiyo ni branch ya Chuo cha Mwanza huko kwao, 🙂🙂🙂
Kusoma hujui, hata kuangalia pichaUnaweweseka umeona linaitwa Saut hilo? Hiyo ni full fledged Catholic university


Sasa HQ ya SAUT inahusikaje na CuCom? Kuna Catholic University of Iringa nk sasa vinahusika vipi na SAUT?
Hakuna kitu hapo ndo maana hata Rais hakutaka kuja kurekodia movie yako hukoHata hapavutii
View attachment 1937470
View attachment 1937471
View attachment 1937472
View attachment 1937474
View attachment 1937475
View attachment 1937476
View attachment 1937477
View attachment 1937478
View attachment 1937480
View attachment 1937481
View attachment 1937482
View attachment 1937483
View attachment 1937484
Kwani SAUT sio Catholic university?Sasa HQ ya SAUT inahusikaje na CuCom? Kuna Catholic University of Iringa nk sasa vinahusika vipi na SAUT?
Ukipata sehemu kama hii Mwanza nzima nitag👇
Huko kwenu alikuja kurekodi nini? Yale makalio mliyokuwa mnatikisa wakati mnadanganywa na mambo ya machifu au? 😄😄😄Hakuna kitu hapo ndo maana hata Rais hakutaka kuja kurekodia movie yako huko