Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huyu mshikaji nimegundua nut ya kwenye cerebrum imelegea sio bure, ana post vijihotel vya ajabu ajabu et anasema kanda ya ziwa hazipo na vigorofa vyenyewe ni kama vijumba vya igogo huko bugarika 😂😂😂
 
Huyu mshikaji nimegundua nut ya kwenye cerebrum imelegea sio bure, ana post vijihotel vya ajabu ajabu et anasema kanda ya ziwa hazipo na vigorofa vyenyewe ni kama vijumba vya igogo huko bugarika
Jamaa ni kituko hapa jukwaani.
 
Nyie endeleeni kujengewa vyuo na serikali huku kanda ya ziwa vyuo tunajenga wenyewe na huko tunakuja kusoma pia.
 
Mega project tu moja ya Lake zone ni vibarabara vote vya Njombe na chenji inabaki
Billion 700
1631645968116.png
1631646048068.png


Soko kuu Mwanza and bus stand U/ construction
1631646194744.png


1631646279454.png


1631646315355.png


Stand ya pili kwa wingi wa Mabasi Nchin (Nyegezi)
1631646778600.png


1631646068230.png
 
Imetosha usipost tena picha za ili jiji, sisi ni level ya kushindana na miji kama kigali, kampala na mombasa
Ndugu yako anatuwekea nyumba za watu humu, zimejaa Isamilo/ Bwiru/ Capri point
 
Back
Top Bottom