Hakuna Mji hapo,hapa tunaonyesha fahari ya Miji yetu yote ya Kusini,Baada ya Kahama kukosa cha kuishinda Njombe ndio mkaja na fishing village ya Bukoba sasa ikabidi tuwaoneshe kwamba tuna miji zaidi na Sumbawanga tuu imewatosha ..
Kama Mbeya City ilichakaza Mwanza kwa Vyuo vikuu mpaka hapo unaweza ona huko poverty zone ni hopeless kabisa.
Nyinyi mliweka vyuo vya mkoa mzima wa mbeya lakini yule baharia alitupia vyuo vya wilaya moja tu ya Nyamagana acheni uzwazwa mnaitaji safari ndefu sana kufika mahali kanda ya ziwa walipofikia japokuwa kuna hawamu ya kishenzi ile hawamu ya nne ya yule mkwere ilitaka kutusahau lakini juhudi na maarifa na uchapakazi na kuchapa sehemu za uzazi ndizo zilituletea maendeleo.Hakuna Mji hapo,hapa tunaonyesha fahari ya Miji yetu yote ya Kusini,Baada ya Kahama kukosa cha kuishinda Njombe ndio mkaja na fishing village ya Bukoba sasa ikabidi tuwaoneshe kwamba tuna miji zaidi na Sumbawanga tuu imewatosha ..
Kama Mbeya City ilichakaza Mwanza kwa Vyuo vikuu mpaka hapo unaweza ona huko poverty zone ni hopeless kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani unahitaji kuwa kichaa kwanza ndo ulinganishe jiji la Mwanza (la pili baada ya Dar) na kijiji kikubwa cha Mbeya (Mbeya jiji)Nyinyi mliweka vyuo vya mkoa mzima wa mbeya lakini yule baharia alitupia vyuo vya wilaya moja tu ya Nyamagana acheni uzwazwa mnaitaji safari ndefu sana kufika mahali kanda ya ziwa walipofikia japokuwa kuna hawamu ya kishenzi ile hawamu ya nne ya yule mkwere ilitaka kutusahau lakini juhudi na maarifa na uchapakazi na kuchapa sehemu za uzazi ndizo zilituletea maendeleo.
Acha porojo wewe,Mwanza ina vyuo vikuu vingapi na Mbeya vingapi?Nyinyi mliweka vyuo vya mkoa mzima wa mbeya lakini yule baharia alitupia vyuo vya wilaya moja tu ya Nyamagana acheni uzwazwa mnaitaji safari ndefu sana kufika mahali kanda ya ziwa walipofikia japokuwa kuna hawamu ya kishenzi ile hawamu ya nne ya yule mkwere ilitaka kutusahau lakini juhudi na maarifa na uchapakazi na kuchapa sehemu za uzazi ndizo zilituletea maendeleo.
Barabara huwa zinafanania hivi π[emoji23][emoji23][emoji23] mnateseka sana, mjini mmejaza slums na vijijini mmejaza tembe yaani ni shida tupu njoo mjifunze huku View attachment 1931793View attachment 1931795View attachment 1931796View attachment 1931797
Ahsante kwa kuonesha barabara kuu za huko, naona unazipambanisha na za vijijini vya huku
Just imagine.
We nshomile huko kwenu barabara kuu zina service road?Ahsante kwa kuonesha barabara kuu za huko, naona unazipambanisha na za vijijini vya huku
Unatakiwa kuwa mwehu kuamini Jiji linaliongoza kwa umaskini Tzn kuwa eti Ndio Jiji la pili,aisee ukirukwa akili utaamini huu upuuzi.[emoji23][emoji23][emoji23] yaani unahitaji kuwa kichaa kwanza ndo ulinganishe jiji la Mwanza (la pili baada ya Dar) na kijiji kikubwa cha Mbeya (Mbeya jiji)
Mikoa yenye slums Tzn hii inajulikana,mikoa ya Kanda ya Ziwa inayoongozwa kwa umaskini ndio huwa mwenzie ni slums..[emoji23][emoji23][emoji23] mnateseka sana, mjini mmejaza slums na vijijini mmejaza tembe yaani ni shida tupu njoo mjifunze huku View attachment 1931793View attachment 1931795View attachment 1931796View attachment 1931797
How comes mnaongoza kwa umaskini? ππ .Namba hazidangayi sio kama porojo zako.[emoji23][emoji23][emoji23] fahari gan mnaonyesha hapa zaidi ya mavumbini huko.
Huko kusini hakuna miji kabisa .just imagine karibia kila kitu kicholimwa kusini kinalimwa mkoa mmoja tu wa kagera.
Kitu gan Cha kusini hakilimwi kagera
Kagera ipo top five ya kilimo Cha nanasi View attachment 1931789
Yaani nione wivu wanakoishi maskini huko? Are you serious? Umewahi ona nani amehama Kusini akaja kwenye migomba?Maskini wivu unakusumbua. Bukoba vijijini panatia hasira ukitazama vijiji vyako[emoji23][emoji23]
Vijijini kageraView attachment 1931524View attachment 1931525View attachment 1931526View attachment 1931527View attachment 1931528View attachment 1931529
Jamani huu ni mji?[emoji23][emoji23]Yaani nione wivu wanakoishi maskini huko? Are you serious? Umewahi ona nani amehama Kusini akaja kwenye migomba?
Labda uwe kichaa ndio utaacha pesa Kusini uende huko kwenye mbavu za mbwa..
Vitegauchumi kama kawa [emoji116]
View attachment 1931952
View attachment 1931953
View attachment 1931954
View attachment 1931955
View attachment 1931956
View attachment 1931958
View attachment 1931959
View attachment 1931960
View attachment 1931961
Sawa ila hii hapa ππ inakuhusu πππJust imagine.
Hii ni barabara inayounganisha wilaya ya karagwe na misenyi ndani ya mkoa wa kageraView attachment 1931924View attachment 1931925View attachment 1931926View attachment 1931927View attachment 1931928View attachment 1931929
We jamaa nakuvumilia tu na kupost utumbo na unakaa unaurudia rudia[emoji23][emoji23]We nshomile huko kwenu barabara kuu zina service road?
Hizi hapa ni barabara za mjini na mitaani[emoji116]
View attachment 1931935
View attachment 1931936
View attachment 1931937
View attachment 1931938
View attachment 1931939
View attachment 1931940
View attachment 1931941
View attachment 1931942
View attachment 1931943
View attachment 1931944
Sijawahi rudia picha wewe kima,acha maneno onyesha picha..We jamaa nakuvumilia tu na kupost utumbo na unakaa unaurudia rudia[emoji23][emoji23]
Anyway natangaza mkoa wa kagera najua watu wengi wanaview uzi
Yap mkoa wa kagera Kuna mahali tunakwama hasa upande wa makusanyo na GDP ukilinganisha na idadi wa wasomi waliotoka mkoa huu
Ni Mji tena mkubwa ,hiyo fishing village town ya Bukoba inaingia twice.Jamani huu ni mji?[emoji23][emoji23]
Cheki mavumbi mavumbi [emoji23][emoji23]
Hiyo mifumo iko Kagera tuu mikoa mingine haiko Tzn iko Mars sio ? πππππ..Yap mkoa wa kagera Kuna mahali tunakwama hasa upande wa makusanyo na GDP ukilinganisha na idadi wa wasomi waliotoka mkoa huu
Mifumo mibovu ya uendeshaji wa mkoa huu kutoka serikali kuu. Majanga yaliyoukumba na magendo
[emoji23][emoji23] maneno ya kanga.Sijawahi rudia picha wewe kima,acha maneno onyesha picha..
Huo mkoa hata ungewekwa kwenye kioo cha CNN hakuna impacts Chanya utapata maana uko kushoto na watu wake ni maskini.
Only outsiders za mkoa ndio wamejenga huko Vijijini mwisho wa mwaka wanakuja kusalimia na kusepa but no uwekezaji wowote unaoweza fanyika kwenye jamii maskini.
Endeleeni na katerero tuu [emoji23][emoji16]
Nyie endeleeni kujisifu kwa vyuo sisi na wakina nshomile waitu tunajazana huko kwenye vyuo vyenu kuliko ata nyie wenyeji.Acha porojo wewe,Mwanza ina vyuo vikuu vingapi na Mbeya vingapi?
Tuvyuo uchwara twa uchochoroni ndio unakuja kujipigia kifua? Nataka vyuo vikuu