Kiwanda Cha kusindika kahawa Tanica bukobaViwanda vya kuchakata Mazao ya miti ndio vinaleta pesa Njombe sio habari za maharage na ndizi .
Hapa Waziri akizindua kiwanda cha Nguzo za Umeme
View attachment 1924769
View attachment 1924770
View attachment 1924771
Kagera iko top Five ya viwanda vya maziwa nchiniViwanda vya kuchakata Mazao ya miti ndio vinaleta pesa Njombe sio habari za maharage na ndizi .
Hapa Waziri akizindua kiwanda cha Nguzo za Umeme
View attachment 1924769
View attachment 1924770
View attachment 1924771
Yaani kwa picha hizi bora hata Kayanga huko KaragweHizi ni pics za kiangazi live sio za make up wala masika ndio maana unaona hivyo.
Na huu ni Mji mkubwa sio tiny town kama hako ka Bukoba .
Mitaani Swax
View attachment 1924605
View attachment 1924606
View attachment 1924607
View attachment 1924608
View attachment 1924609
View attachment 1924610
Kayanga uwewahi kuisikia popote kwenye Takwimu za serikali? Huwa naisikia kwenye Takwimu za Vijijini vya ujamaaacha utani mkuu yaani mmezidiana kidogo na Kayanga, acha kupoteza muda
Dilapidated,au ndo vile vinatakiwa kufufuliwa 😁😁Kiwanda Cha kusindika kahawa Tanica bukobaView attachment 1924979
Hakuna serikali itajenga barabara za lami kijijini hizo ziko Muleba mjiniNdo maana nikasema ujenzi unaendelea.
Barabara za lami huko vijijini mulebaView attachment 1924737View attachment 1924738View attachment 1924739
Kwa hiyo Rubya ni muleba mjiniHakuna serikali itajenga barabara za lami kijijini hizo ziko Muleba mjini
Barabara kuelekea vijiji vya gera,kanyigo na mugana wilayani misenyiHakuna serikali itajenga barabara za lami kijijini hizo ziko Muleba mjini
Barabara ya kuelekea katoma bukoba vijijiniHakuna serikali itajenga barabara za lami kijijini hizo ziko Muleba mjini
Barabara ya lami kuelekea maruku bukoba vijijiniHakuna serikali itajenga barabara za lami kijijini hizo ziko Muleba mjini
😁😁😁😝 barabara imechoka utafikiri korongo la ng'ombeBarabara ya kuelekea katoma bukoba vijijiniView attachment 1925082View attachment 1925083
Lami kuelekea kamachumu muleba vijijiniHakuna serikali itajenga barabara za lami kijijini hizo ziko Muleba mjini
Maruku bukoba vijijini.barabara imechoka utafikiri korongo la ng'ombe
Kutoka kijiji maarufu Cha katerero Hadi kanazi bukoba vijijinibarabara imechoka utafikiri korongo la ng'ombe
Barabara ya lami inayounganisha tarafa ya bugabo yaan vijiji vya kashozi na kibengwe huko bukoba vijijiniHakuna serikali itajenga barabara za lami kijijini hizo ziko Muleba mjini
Hakuna kitu mbeya nitakataka tu we uijui mwanza naishi mbeya nimkoa wa kishamba sana huwez linganisha na mwanza huijui mwanza ww huwezi tuma picha za city pub na ilo ghorofa pamoja na kabwe huo ni uchafu kwa mwanzaWewe una shida,Mbeya kuna mid sized malls nyingi Sana kwa sasa sio sawa na hilo empty ghala lenu.
Wasukuma na mall wapi na wapi?Haya Cheka vizuri hapo sasa
View attachment 1883067
View attachment 1883068
View attachment 1883069
View attachment 1883070
View attachment 1883071
View attachment 1883072
View attachment 1883073
View attachment 1883074
View attachment 1883075
View attachment 1883076
View attachment 1883077
View attachment 1883078
Tupo kwa viwanda vya maji