Yaan mkoa uongoze kwa mvua kwa mvua Tanzania halafu uwe na udongo mweupe hivyoView attachment 1921075
hizi ndio nyumba za watu wenye maisha bora huko Misenyi
NGARA
source:Ngarakwetu.bloguspot
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanal Fabian Massawe amewataka wananchi wa wilaya za Ngara na Biharamulo kujenga nyumba kama hiyo
View attachment 1921082
View attachment 1921083
View attachment 1921084
Mkuu wa mkoa wa Kagera Fabian Massawe,nyuma pembeni ya askari ni Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Lichard Mbeho
View attachment 1921085
Kumbe hata mkoa wako huujui vizuri hio no Ngara usiruke rukeYaan mkoa uongoze kwa mvua kwa mvua Tanzania halafu uwe na udongo mweupe hivyo
We kwa akili yako mtu ambaye sio mhamiaji na wale wachoma Mikaa wa mistuni anaweza kukaa kwenye nyumba Kama hiyo?
Kwamba hujui kuwa ngara Kuna wahamiaji kutoka Burundi na Rwanda wanaokaa mistuni huko kuchoma Mikaa?Kumbe hata mkoa wako huujui vizuri hio no Ngara usiruke ruke
Jamaa anaokoteza vipicha vya wakimbizi huko maporini eti ndo Bukoba sasa ni lini mkimbizi akajenga nyumba boraKwamba hujui kuwa ngara Kuna wahamiaji kutoka Burundi na Rwanda wanaokaa mistuni huko kuchoma Mikaa?
Wilaya Kama biharamulo iko tupu Ina wahamiaji kutoka mikoa mbali mbali na nchi za Rwanda Burundi walioanzisha vijiji vipya vya muda huko mistuni.
Au hata habari hukusoma vzr
Yan yeye anaangalia bukoba tu wakati wenzie tunamaanisha mkoa mzima kwa masifa waliyo nayo umasikini utawatesa sanaNgara iko mkoa gani kama sio Kagera-Kanda ya Ziwa
Washamba wengine haoVitu Kama hivi huwezi vikuta kule mavumbini kusini, vitu vya town hivi.
Huko kusini mnaijua 3D nyie!View attachment 1921247View attachment 1921249View attachment 1921250View attachment 1921251View attachment 1921252
Hapa tunamaanisha mkoa mzima wa njombe na kagera elewa HiloWanaongelea Bukoba wewe unasema Ngara, wamepiga kwenye mshono. Nisawa tuongelee Kahama halafu nilete habari za Kishapu.
Mkoa mzima ndo hamsogelei hata kidogo maana huko Njombe hamna vijiji vya kulinganisha na Bukoba. Tatizo mkipata pesa mnavikimbia tofauti na huku ambapo hata mtu awe Marekani atakuja ajenge kijijini kwaoYan yeye anaangalia bukoba tu wakati wenzie tunamaanisha mkoa mzima kwa masifa waliyo nayo umasikini utawatesa sana
Kwa hiyo Bukoba ni Kijiji kikubwa cha kushindana na vijiji vya NjombeMkoa mzima ndo hamsogelei hata kidogo maana huko Njombe hamna vijiji vya kulinganisha na Bukoba. Tatizo mkipata pesa mnavikimbia tofauti na huku ambapo hata mtu awe Marekani atakuja ajenge kijijini kwao
Bukoba port the second largest lake port in TanzaniaKwa hiyo Bukoba ni Kijiji kikubwa cha kushindana na vijiji vya Njombe
Wenye picha za Makete vijijini wekeni tu, wacha na mimi nizisakanye yaani hakuna tofauti na kambi za wakimbizi Nduta.Hapa tunamaanisha mkoa mzima wa njombe na kagera elewa Hilo
Washamba wengine hao
Elewa basi Bukoba namaanisha vijiji vyote vya Wahaya sijasema Bukoba mjini labda niseme Kagera ndo utaelewa. Vijiji vyenu bado sana na kwa sababu mnakimbilia mjini mnaviacha vikiwa hoiKwa hiyo Bukoba ni Kijiji kikubwa cha kushindana na vijiji vya Njombe
Bukoba port the second largest lake port in TanzaniaView attachment 1921730View attachment 1921731View attachment 1921732View attachment 1921736
Huko hata biharamulo na ngara kwa wahamiaji panapazidiWenye picha za Makete vijijini wekeni tu, wacha na mimi nizisakanye yaani hakuna tofauti na kambi za wakimbizi Nduta.
Kemondo bay port 19km from bukoba port and Bukoba townKwa hiyo Bukoba ni Kijiji kikubwa cha kushindana na vijiji vya Njombe