The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Ila bado hamuwezi kufikia Bukoba na wala sio leo.Njombe inakusanya na watu pia wanaendelea.Hiyo ndio tofauti,kinachoitofautisha Njombe na mikoa ya Kanda ya Ziwa ni divesity ya njia za uchumi,Njombe Kuna vitu vingi vya kiuchumi vinavyomnufaisha mtu binafsi moja kwa moja wakati mikoa mingine inategemea wawekezaji wakubwa kukusanya mapato ya serikali tu.Kodi ya wawekezaji inaenda haxina hivyo watu wanasubiri huruma ya serikali kuiridisha kidogo ndio maana mzunguko wa fedha unakua kidogo tofauti na Njombe,sababu nyingine ni Biashara za kati kua nyingi kwa watu wanjombe,unakuta karibu asilimia 30 ya kaya zina mtu anapiga Biashara hivyo inakua Kama Diaspora anayerudisha mzukunguko wa fedha.Ndio maana mikoa ya Nyanda za Juu haitegemei mhindi kuleta biadhaa muhimu au watu wa mbali ni sisi kwa sisi.
Njombe vijijini hakuna kitu ni shida tupu tunapafahamu sana, vijiji vya Bukoba hampo hata nusuHaha yote hi ni shida ya kutosha kutembea hebu fanya ziara siku moja uangalie vijiji vya njombe watalam wamefanya utafiti wakajua mkoa was njombe upo vizur zaidi ya kagera we endelea kunywa ubisi ukimaliza tembelea na ngara
Hebu tuanzie hapo kwenye quality ya makazi[emoji23][emoji23]
Hiv unaweza linganisha vijiji vya njombe n bukoba akili ikawa sawa!!!
Hapo mjini njombe nyumba zimejaa kutu na mabati meusi zinazidiwa na nyumba huko vijijini ndani ndani huko karagwe na misenyi
Wacha kulinganisha na Kahama Mc, Njombe ni Msalala au Ushetu DC iliyochangamkaWatu wa njombe kama wanakichaa cha mbwa huwezi linganisha bukoba na njombe level ya bukoba ni iringa wao level yao ni kahama geita bunda na bariadi kwa musoma hawaingii halafu kigezo cha kukusanya mapato makubwa sio kigezo cha maendeleo kwani chalinze inamapato makubwa kuliko morogoro manispaa sasa ndio tuseme chalinze wameendelea kuliko morogoro mjini pia kahama na geita wanakusanya pesa nyingi kuliko bukoba na ilemela je wameendelea kuliko bukoba au kigamboni inakusanya pesa kidogo kuliko njombe je hio njombe inamaendeleo kuliko kigamboni
Tuko nyuma kwa mujibu wa wewe lakini kwa mujibu wa ulimwengu tumesogea sana mkuu.Huhitaji Rocket Science kujua hilo ukifika Njombe utaona kwa macho yako mwenyewe bila hata kuambiwa na mtu.Kama unataka kuangalia idadi ya magorofa kweli bao sio mengi sana kwa kuwa ndio kwanza tunaijenga lakini kama unataka kulinganisha mendeleo ya mtu mmoja mmoja kulinganisha na kanda ya ziwa utakubaliana na ulimwengu kua Njombe na Nyanda za juu kusini kupo tofauti.Najua bado umekaririshwa na dhana za kizamani za kusema kusini kusini kusini.Kusini kwa maana ya maendeleo ni kasikazini kwa sasa ikiongozwa Nyanda za juu kusini.Well inawezekana kwenye barabara mmetuzidi kwa kua mlikua na bwana barabara aliyewapendelea hasa kwenye kuunganisha wilaya na mkoa lakini hata njombe barabara za Lami zipo japo bado hazikidhi hitaji la uchumi wa Njombe.Yan unavyoipamba njombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji12]
Bado mko nyuma Sana tuseme ukweli
Mnazungumzia mji wa Bukoba au Mkoa mzima wa Kagera maaana huendi tulikua hatuelewani sisi tunauzungumzia mkoa wa Njombe in general.Ila bado hamuwezi kufikia Bukoba na wala sio leo.
[emoji23][emoji23][emoji23] wanakuchosha bure huwezi kutoka misenyi au muleba ukaenda kuishi makete au sijui ludewa utakufa kwa stress
Duh bora ukazungumzia mji kuliko mkoa maana watu wa vijijini huku Kagera wanaishi maisha mazuri kuliko watu wengi mjini. Ndo maana kuna watu wengi vijijini hawana haja na mjini.Mnazungumzia mji wa Bukoba au Mkoa mzima wa Kagera maaana huendi tulikua hatuelewani sisi tunauzungumzia mkoa wa Njombe in general.
Eti alitupendelea[emoji23][emoji23][emoji23].Tuko nyuma kwa mujibu wa wewe lakini kwa mujibu wa ulimwengu tumesogea sana mkuu.Huhitaji Rocket Science kujua hilo ukifika Njombe utaona kwa macho yako mwenyewe bila hata kuambiwa na mtu.Kama unataka kuangalia idadi ya magorofa kweli bao sio mengi sana kwa kuwa ndio kwanza tunaijenga lakini kama unataka kulinganisha mendeleo ya mtu mmoja mmoja kulinganisha na kanda ya ziwa utakubaliana na ulimwengu kua Njombe na Nyanda za juu kusini kupo tofauti.Najua bado umekaririshwa na dhana za kizamani za kusema kusini kusini kusini.Kusini kwa maana ya maendeleo ni kasikazini kwa sasa ikiongozwa Nyanda za juu kusini.Well inawezekana kwenye barabara mmetuzidi kwa kua mlikua na bwana barabara aliyewapendelea hasa kwenye kuunganisha wilaya na mkoa lakini hata njombe barabara za Lami zipo japo bado hazikidhi hitaji la uchumi wa Njombe.
Bora uuzungumzie huo mji wa bukoba. Ambao hata Mimi bado siridhiki na maendeleo ya huo mji aisee.Mnazungumzia mji wa Bukoba au Mkoa mzima wa Kagera maaana huendi tulikua hatuelewani sisi tunauzungumzia mkoa wa Njombe in general.
Bado umesahau uvuvi wa dagaa na samaki watu wametajirika sanaEti alitupendelea[emoji23][emoji23][emoji23].
Serikali wanaangalia sehemu potential kwanza . huwezi zungumzia uchumi wa Tanzania Bila kuiangalia Kanda ya ziwa.
Kanda ya ziwa inapakana na nchi kibao na Kuna population kubwa.
Kahawa ni zao la pili nchini katika mazao ya biashara kuingiza kipatoo na 65 % ya kahawa yote nchini.
Bado ndizi 70% ni kutoka mkoa mmoja
Bado vanilla
Bado Sukari.kumbuka kagera sugar ni moja ya viwanda vikubwa nchini kwa uzalishaji
Bado maharage zaidi ya 70% yanatoka kagera
Bado chai na maparachichi yanalimwa kagera.
Bado pamba inalimwa
Bado madini Kama dhahabu na tin
Nk nk
Bado biashara za mipakani
Hata mm nimemshsngaa anajitoa mjini anaongelea na vijiji, aisee hapo ndo kachemka vibaya haitokaa itokee vijiji vya huko Njombe vikasogelea vya Bukoba na sababu ni kwamba mnavitelekeza mnakimbilia mjiniBora uuzungumzie huo mji wa bukoba. Ambao hata Mimi bado siridhiki na maendeleo ya huo mji aisee.
Lakin vijijini huko ni balaa. Ndo hata mkoa una density kubwa ya watu vijijini kuliko mkoa wowote ule
Nyie jamaa mnaleta masihara sana yaani watu wa kule Ngara ni ule uduni bado mnasema wanaishi maisha mazuri kuweni na huruma aiseeDuh bora ukazungumzia mji kuliko mkoa maana watu wa vijijini huku Kagera wanaishi maisha mazuri kuliko watu wengi mjini. Ndo maana kuna watu wengi vijijini hawana haja na mjini.
Narudia tena kuhusu vijiji hata huko usijisumbue hamuwezi kuingia hata robo bora tuongelee mjini
Kwa taarifa yako Bukoba kinachotuhumiza vichwa ni kuendeleza zaidi mji wetu lakini hatuna wasiwasi na vijiji vyetu
Wanaongelea Bukoba wewe unasema Ngara, wamepiga kwenye mshono. Nisawa tuongelee Kahama halafu nilete habari za Kishapu.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nyie jamaa mnaleta masihara sana yaani watu wa kule Ngara ni ule uduni bado mnasema wanaishi maisha mazuri kuweni na huruma aisee
Ngara iko mkoa gani kama sio Kagera-Kanda ya ZiwaWanaongelea Bukoba wewe unasema Ngara, wamepiga kwenye mshono. Nisawa tuongelee Kahama halafu nilete habari za Kishapu.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Aahhaahaaaa, weee jamaaa, Mnapambanisha Njombe TC na Bukoba DC (Vijijini)Ngara iko mkoa gani kama sio Kagera-Kanda ya Ziwa
Hata huoni aibu.udongo mweupe bukoba?View attachment 1921075
hizi ndio nyumba za watu wenye maisha bora huko Misenyi
NGARA
source:Ngarakwetu.bloguspot
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanal Fabian Massawe amewataka wananchi wa wilaya za Ngara na Biharamulo kujenga nyumba kama hiyo
View attachment 1921082
View attachment 1921083
View attachment 1921084
Mkuu wa mkoa wa Kagera Fabian Massawe,nyuma pembeni ya askari ni Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Lichard Mbeho
View attachment 1921085