Kahama VS Njombe/Mafinga

Unaonekana kwa Takwimu na picha ,sasa kwani mimi Niko huko kijijini kwenu hadi nipige picha?
Acha upumbavu mkuu hii haitabidikisha ukweli kwamba huko kumetamalaki umaskini.

Afu uache utoto wa kuleta picha za miaka ya zamani,mimi nimekupa current data from trusted source.
Pale maendeleo yanapoonekana. Sio GDP ambao ni uongo wakati tz bado tupo maskini Sana.
 
Kenya GDP nene, ila majority wanaishi maisha ya kunguni, nyie kaeni na GDP Lake zone tunatengenza uchumi wa nchi
Hakuna kisingizio cha DDP hapa,ukichukua wanaishi kwenye Hali mbaya ya umaskini Kati ya Njombe na Kagera , typical kagera itaongoza in terms of numbers
 
Hakuna kisingizio cha DDP hapa,ukichukua wanaishi kwenye Hali mbaya ya umaskini Kati ya Njombe na Kagera , typical kagera itaongoza in terms of numbers
Ushirikina tu huko njombe.


Hiv na vifo vya watoto si huko njombe.

Sehemu ya umaskini na ushirikina pamoja uchawi ushamiri
 
Bukoba mwaka 2009


NB. Bukoba ni manispaa toka 1998View attachment 1915320
Ndo maana tunakwambia mme dumaa we had saiz miji ya juzi tu imewapita ya kuzidi mfano unavoongelea mkoa wa njombe saiz eneo kubwa umesha jengeka miji imekutana mfano makambako na njombe hi ni miji mikubwa iliyopo ndan ya wilaya moja ya njombe imeshakutatana pia na vimiji vidogo vya kutosha vimesha kutana na miji mikubwa ko ni mkoa ambao upo speed mno kwa kujengeka
Usirudie Tena kulinganisha bukoba na upumbavu wa huko kusini
 
Ulivyo mjinga kweli wew.

Kwa hiyo kusambaa kwa mji ndo kujengeka?




Mbona mna population density ndogo Sana kulinganisha na kagera, Kilimanjaro na dar.


Hiv kagera ukiondoa ile migomba si ni mji kabisa.






Maendeleo sio kujenga Jenga miji na kusambaa . maendeleo ni kujitosheleza kwa hiyo miji Kama ilivyo bukoba
 
Haha bukoba labda imesambaa migomba ila.sio makazi
 

Huo ni mkeka wa njombe to makete sio hizo barabara za bukoba bado mnajenga za Bei ndogo
 
Kwa speed ya mkoa huu kagera mtasubiri Sana kwanza nyie mbishanage na musoma na kigoma huu Moto mwingine
 
Project ya mchuchuma na liganga mkoa was njombe sio level zenuna viwanda vilivyo anza kazi ni Cha bati nondo na misumari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…