Kahama VS Njombe/Mafinga

Jamani nyie watu. Barabara nzr lakin cheki pembeni nyumba aisee check nyumba



Mkoa una GDP kubwa



Vip na hii ilishajengwa
 
Hii ilitokana na kukosekana kwa barabara za uhakika kwa sasa barabara iko tayari hadi Njombe mjni na ujenzi unaendelea kuunganisha na Mbeya.

Na tulivyo wachapa Kazi,hilo gazeti lije tena 2025 kuandika huo ujinga.
 
Hizo Wilaya zote unazozitaja hazikuwa kabisa na barabara za kutoa rasilimali huko Vichakani given jografia ya milima na mabonde kwa Mkoa wetu.

As we speak barabara ya lami kwenda Ludewa hadi Mbamba Bay inaendelea kujengwa.

Na ndio maana ilibidi tugawane mikoa maana Iringa walikuwa wanajipendelea kwao tuu .

Ila ukweli mchungu ni kwamba idadi ya maskini kama hao unaookoteza wewe jamaa ni wengi Sana huko Kagera kuliko Njombe.
 
Hii ilitokana na kukosekana kwa barabara za uhakika kwa sasa barabara iko tayari hadi Njombe mjni na ujenzi unaendelea kuunganisha na Mbeya.

Na tulivyo wachapa Kazi,hilo gazeti lije tena 2025 kuandika huo ujinga.
Kwamba kagera 2025 itakuwa imelala sio.



Sio mwakani tunasubiri meli mpya ya mv mwanza .
Chuo kikuu tawi la udsm bukoba
Chuo kikubwa Cha veta bukoba
Barabara za vijijini zinakamilika huko kanyigo,misenyi,minziro na katerero
Upanuzi wa uwanja wa ndege wa bukoba.
Nk nk
 
Kwamba watu wameamia Sasa hiv




Kamkoa kenyewe kadogo Kana watu wachache bado kana maskini na ufukara wa kutupwa.
 
Hii ndo hospital mnaona kubwa kusini
Nani kasema hii ndio hopstal kubwa?Ziko kubwa kama Njombe referal,Mbeya referal hospital nk...Lakini Ikonda kuna huduma bora na ukarimu wa hali ya juu.Njombe inahospital Nyingi sana mkuu Kuna NJOMBE TOWN COUNCIL HOSPITAL,IKONDA HOSPITAL,IKELU HOSPITAL,NJOMBE REGIONAL HOSPITAL,LUGARAWA HOSPITAL,ILEMBULA HOSPITAL, LUDEWA District Hospital,, achilia mbali health Centre kubwa kama Anglican Health Centre,Tanwat health Centre,NJOMBE HEALTH CENTRE NK..Tunaposema tuna GDP kubwa ndio uelewe kuwa tumepiga hatua kubwa.
 
Sema mna ushamba fulani na hamtembei.tembei
 
Hebu Tuonyeshe huo umaskini uko wap?


Nyie mko Kama Kenya GDP kubwa lakin umaskini Kama kawaida.
Acha upumbavu mkuu hii haitabidikisha ukweli kwamba huko kumetamalaki umaskini.

Afu uache utoto wa kuleta picha za miaka ya zamani,mimi nimekupa current data from trusted source.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…