Mji hauna street lights? We ulisikia wap.Hii village town ya Bukoba ni hovyo kabisa kimji hakina street lights ikifika usiku watu wote wanashindana kuwanga na kufanya katerero tuu
Bukoba Mji wa kishamba Sana umezeekaMji hauna street lights? We ulisikia wap.
Mji uwe na airport ya kisasa,bandari na barabara ikose vitu minor Kama hivyo? Kweli we mshamba.
Streets lights zimekuwepo bukoba toka miaka ya tisini huko
Tena Sasa ndo wanazifumua na kuweka mpyaView attachment 1914643View attachment 1914646
Hahaha Hayo ndo maendeleomzee wa takwimu. Kwan per capita inahesabiwaje.
Population ya kagera ni kubwa sana mkoa una watu 3.2 million hebu weka iringa hapa.bado density pia ya kagera ni kubwa mno kulinganisha na iringa hivyo takwimu Lazima ziwe hivyo.
Ila kihualisia iringa watu wake hawana vipato kiviile kulinganisha na kagera.
Ndo maana abiria wa ndege wamekosa huko na wamefunga safari za huko.vijijini huko kilolo ni ajabu tupu.
Kwamba takwimu hixo kwa kipato hicho basi wanairinga wapo developed Sana
Anyway punguza stress kwa kutizama pisi Kali kutoka bukoba.
Huko kusini hivi Kuna mademu kweli
View attachment 1914625View attachment 1914626View attachment 1914627View attachment 1914629View attachment 1914630
Huoni hata aibu? Mko wengi ila wavivu watupu.mzee wa takwimu. Kwan per capita inahesabiwaje.
Population ya kagera ni kubwa sana mkoa una watu 3.2 million hebu weka iringa hapa.bado density pia ya kagera ni kubwa mno kulinganisha na iringa hivyo takwimu Lazima ziwe hivyo.
Ila kihualisia iringa watu wake hawana vipato kiviile kulinganisha na kagera.
Ndo maana abiria wa ndege wamekosa huko na wamefunga safari za huko.vijijini huko kilolo ni ajabu tupu.
Kwamba takwimu hixo kwa kipato hicho basi wanairinga wapo developed Sana
Anyway punguza stress kwa kutizama pisi Kali kutoka bukoba.
Huko kusini hivi Kuna mademu kweli
View attachment 1914625View attachment 1914626View attachment 1914627View attachment 1914629View attachment 1914630
Bukoba mji wa Bata sanaHahaha Hayo ndo maendeleo
Watu wavivu wamejaza vyuo vyote wakitafuta elimu?Huoni hata aibu? Mko wengi ila wavivu watupu.
Watu wake wengi akili kubwa sana.Bukoba Mji wa kishamba Sana umezeeka
Naam bukoba wakati wa usikuHii village town ya Bukoba ni hovyo kabisa kimji hakina street lights ikifika usiku watu wote wanashindana kuwanga na kufanya katerero tuu
Ndio mnawaza white color job ndio maana mumekimbia kwenu na hakuna uwekezaji wowote mnafanya huko kwenu.
MnaWatu wake wengi akili kubwa sana.
Naam bukoba downtownView attachment 1914672View attachment 1914673View attachment 1914674
Eti white color Jobs.Waukimbie mkoa halafu vijijini kuwe vile na majumba makali.Ndio mnawaza white color job ndio maana mumekimbia kwenu na hakuna uwekezaji wowote mnafanya huko kwenu.
Mji wa bukoba haushindani na mji wowote.sio Lazima miji yote ifanane na dar au mwanza.Mbona hamna jipya inatakiwa utathimini mji ulianza lini na umepitwa na miji mingap tz happy ndo utajua kwanini tunakwambia bukoba imezeeka
Mna
Hahaha ukiongelea wazawa kuwekeza kwao kusini ndo mahalapake kwanza vitu unavotaja Hadi unachekesha et shell hizo hku ni kila Kona mfano tu mji wa makambako Kuna shell Zaid ya ishilini asilimia 98 ni za wazawa wa nyanda za juu kusini huo ni mji mmoja tu bado miji mingine ndo maana tunakwambia mkajifariji mmesha achwa parefu baadhi ya shell zilizopo makambako za wazawa hizo hpo na BDO zinajengwa kila sikuEti white color Jobs.Waukimbie mkoa halafu vijijini kuwe vile na majumba makali.
Hiv unajua bukoba Kuna vituo vya redio vingapi vya wazawa,vipi vituo vya mafuta vya wazawa?VIP shule?
Hiv huko kusini Kuna shopping mall kweli
Watu wanawekeza kwao Hadi mall na plaza kibaoView attachment 1914687View attachment 1914689
Miji yenu inaendelea lakin watu wake hawaendelei.Hahaha ukiongelea wazawa kuwekeza kwao kusini ndo mahalapake kwanza vitu unavotaja Hadi unachekesha et shell hizo hku ni kila Kona mfano tu mji wa makambako Kuna shell Zaid ya ishilini asilimia 98 ni za wazawa wa nyanda za juu kusini huo ni mji mmoja tu bado miji mingine ndo maana tunakwambia mkajifariji mmesha achwa parefuView attachment 1914728View attachment 1914731
View attachment 1914735View attachment 1914770
Ni upumbavu na ujinga kuwekeza kwenye vitu Kama maghorofa na sio watu.Hao ni wazawa wanafanya yao na happy ni mji wa mafinga
View attachment 1914777
Hahaha hebu linganisha nyanda za juu kusini Ina vyuo vikuu vingapi na Kanda ya ziwa vpo vingap uone Kama hamjala za usoMiji yenu inaendelea lakin watu wake hawaendelei.
Mlivyo na uelewa mdogo mnawekeza kwenye vitu vinaoongeza makusanyo na utajiri binafsi.
Watu wa bukoba wanawashangaa Sana.
Bukoba wako busy kuwekeza kwenye elimu ili maendeleo ya watu yawe juu Kama ilivyo sasa.
Mikoa ya kagera na Kilimanjaro inashule nyingi kuliko dar .na ndo inatoa watu wenye maendeleo nchini
Acheni upumbavu na ushamba.. wekeza katika elimu kwanza ndo maana hata ukimwi mmeshindwa kucontrol Kama walivyofanya kagera.ilikuwa rahisi kucontrol ukimwi kwa sababu watu wengi wameelimika.
Hebu fatilia matokeo uone mkoa wenu unashika ungap usituletee mambo ya historia za wazee wakoNi upumbavu na ujinga kuwekeza kwenye vitu Kama maghorofa na sio watu.
Hapo ndo watu wa bukoba wanapowazidia.
Wahaya wanawekeza katika elimu ili kizazi Cha kihaya kisikae kizembe milele na milele.
Ukiliangalia mji wa bukoba una shule Kama zote kuzunguka mji na zinaongoza kitaifa kila mwaka
Wilaya Kama muleba Ina shule nyingi kuliko wilaya za dar kwa sababu wahaya wamewekeza kwenye elimu sio upumbavu wa vitu ambavyo unaweza kufilisika.
Nishaacha ujinga wa kulinganisha vyuo vikuuHahaha hebu linganisha nyanda za juu kusini Ina vyuo vikuu vingapi na Kanda ya ziwa vpo vingap uone Kama hamjala za uso
Hebu fatilia matokeo uone mkoa wenu unashika ungap usituletee mambo ya historia za wazee wako