Kahama VS Njombe/Mafinga

Kama umefika bukoba utakuwa unapafahamu Rwamishenye. Sasa jamaa kaingia Google Earth kaona bukoba ilivyojengeka Kule city center kaamua alete Rwamishenye km Kama tano kutoka mjini
Nafikiaga bukoba Coop pale, napamanya sana bk hadi karagwe na kyerwa
 
Mkuu huo mtaa wa Barongo uko kila mahali😀😀😀😀😀yaani piacha sita ni za sehemu moja tu umecheza na Angle tu😂😂😂
 
Cheki Njombe hiyo ambayo imekua makao makuu ya mkoa juzi tu inavyokukimbiza

Cheki Njombe hiyo ambayo imekua makao makuu ya mkoa juzi tu inavyokukimbiza

View attachment 1894019
Hapo ni mjini na naona barabara hazina lami.

Na nyingine zimewekwa lami juzi juzi.

Mji una nyumba za chini Kama mwananyamala
slums tupu

Kijana acha kulinganisha njombe na bukoba linganisha na kahama yenu Kama Uzi ulivyo
Bukoba sio level zenu
 
Hizo kutu ndio quality ya makazi
those are old and non repaired roofs
Mji wenu umechoka Sana.

Please linganisha njombe na kahama yenu sio bukoba

Nyie vijijini huko bukoba Kuna nyumba Bora kuliko hapo mjini njombe
 
Huwezi Linganisha ulipokulia na sehemu ambayo hujawahi fika then ukasema huku ni bora zaidi. Ni vyema ukafika kila sehemu zote then uje utupe hizo comparison
 
Huwezi Linganisha ulipokulia na sehemu ambayo hujawahi fika then ukasema huku ni bora zaidi. Ni vyema ukafika kila sehemu zote then uje utupe hizo comparison
Huwezi maliza dunia yote kutafuta maarifa na data .Uzuri kwa Sasa Technolojia imekua hivyo kila kitu kipo kiganjani mwako, viko vitu utahitaji kufika site lakini viko vingine unavipata kwa Techlojia tu.
 
Mkome kulinganisha Manspaa ya Kahama na hicho kijiji chenu sijui ki Njombe
 
sio kila kitu kimewekwa kwenye technolojia
 
Mkome kulinganisha Manspaa ya Kahama na hicho kijiji chenu sijui ki Njombe
Ukome usie jua quality ya mji na mtawanyiko wa mji.Kahama ni mtawanyiko wa mji Njombe ni quality town well organised,Mungu akaupatia mazingira asili ya kujisafisha wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…