Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwa hiyo wasukuma waliojazana na kuhamia Mbeya,Iringa Rukwa na Sasa wanakuja kuomba vibaura wanataka shida hao.Maisha ya vijijini Lake zone yameachwa mbali sana na southern Highland Zone mkuu.
 
Kwa hiyo wasukuma waliojazana na kuhamia Mbeya,Iringa Rukwa na Sasa wanakuja kuomba vibaura wanataka shida hao.Maisha ya vijijini Lake zone yameachwa mbali sana na southern Highland Zone mkuu.
We mbwa, usilinganishe kwimba na ujinga wa huko kusini.
Mbona
We mbwa, usilinganishe kwimba na ujinga wa huko kusini.
Mbona unaongea matusi mkuu
 
Achana nao hao malofa usiangaike kuharibu bundle lako, ata mji wote wa njombe na sumbawanga haiwezi kufikia Buzuruga.
Ndio wapi huko sijawahi sikia mji Kama huo mkuu.
 
Hao wasukuma unaowaona huko vijijini kwenu ni kama tone la maji tu kutoka kwenye bahari, wamekuja huko kukodi na kununua ardhi yenu, mmewauzia ardhi afu nyie mmgeuka kuwa manamba wao na wanawalimisha kwelikweli. Kule katavi na rukwa wafipa wanalimishwa palizi heka 1 kwa buku dala.

Huwezi jua maeneo kama Buzuruga make njombe unatumia muda mwingi kuota Moto na kutoleana funza mwilini.
 
Wasukuma wanazaana sana. Ni wengi na bado wanazaana kwa wingi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wanatekeleza agizo la Mungu, wapo wengine wanatekeleza agizo la Mzungu.
Unakakuta kabinti ka kisukuma kazuri kana mwonekano wa kishamba ,moyoni unaamini nikikapata haka huenda nitachana nyavu. Siku ya siku unakujagundua ni mzazi tayari. Hongera zao.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hilo suali lipo hadi uzaramono na kwingineko
Ni kweli karibu makabila yote, ila nadhani usukumani ni zaidi, hadi mjini unakuta mabinti wabichi tayari wanalea!.,, nimeona wangoni, wakwere, watu wa tanga, wanyamwezi, waha , wafipa, wasingida, wambulu, wazaramo,, kiufupi nimekaa mikoa mingi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa Bukoba tuonesheni hizo lami mnazosema mbona hazionekani

Wazee wa Bukoba tuonesheni hizo lami mnazosema mbona hazionekani

View attachment 1893466
Kwa hiyo mzee ukaamua kuingia Google Earth na kuisearch bukoba mjini.

Na ili kuonesha ulivyomjinga ukatafuta sehemu iliyo km 7 kutoka mjini bukoba Rwamishenye.

Kijana hapo ulipopost ni Rwamishenye km kibao kutoka bukoba.ni moja ya sehemu zilizojaa biashara na vibanda vya machinga na pia ni junction ya kuelekea Uganda

Kama umeingia Google Earth bas utakuwa umeona mji wa bukoba ulivyo mkubwa sana
 
Kanjombe bana! Kamejipanga barabarani tu linear settlement, kanapigwa fimbo na kisesa
Kama umefika bukoba utakuwa unapafahamu Rwamishenye. Sasa jamaa kaingia Google Earth kaona bukoba ilivyojengeka Kule city center kaamua alete Rwamishenye km Kama tano kutoka mjini
 
Wazee wa Bukoba tuonesheni hizo lami mnazosema mbona hazionekani

View attachment 1893466
Hata hivyo ni Rwamishenye hiyo 5km kutoka bukoba town center.
Lakin mitaa yake Ina lami Kama hiyo kagambo road na Uganda road.
Vilivyobaki ni vinjia vidogo vidogo .yaan ni Kama uje dar upige picha kimara au mbagala

Na hapo Rwamishenye Kuna mataa na junction ya kuelekea Uganda...na mji bado hujaisha maana umesambaa Hadi katoma

Please acha kulinganisha hii manispaa kongwe na vimji vyenu huko vya wakulima

Njombe saizi yake ni Rwamishenye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…