Kahama VS Njombe/Mafinga

Weka redio zinazosikika nchi nzima, hizo local hata mbinga na karagwe zipo. Unazungumzia TV?! Kanda ya ziwa TV ipo kwa air toka mwaka 2000 miaka 20 nyuma, lakini leo Miaka 20 baadae huko ndo mnafanyia kazi suala la TV station
, TV station na vijijini wapi na wapi!
 
Yaani Njombe ya humu Jamii forum ni kama Dubai tu, kasoro bahari.
wakati kule panajulikana ni pabaya hata kwa wale ambao hawajawahi kufika, Yaani kuna hizi sehemu zina sifa ya ubaya nchi hii hata kwa wale ambao hawajawahi kufika; mikoa ya kusini na Kigoma watanzania wanajua huko ni kama jehanamu.
 
Pole Sana mkuu
 
Mapanki upo hapo?πŸ‘‡πŸ‘‡



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…