Kahama VS Njombe/Mafinga

Ofisi mpya za Mkuu wa Mkoa wa Mbeya πŸ‘‡πŸ‘‡..Mwanza ziko wapi?☝️☝️







 
Mbeya ni Jiji kubwa wewe la Uchumi Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,fm radios ziko kama zote,twende KaziπŸ‘‡πŸ‘‡

Gmcl fm radio,
Must fm,
Dream fm,
Big star fm ,
Rock fm,
Generation fm,
Baraka fm radio,
Bomba fm Radio,
Mbeya Highlands fm radio(Dar&Mbeya),
Radio Furaha fm,
Access fm,
Adonai fm,
Mbeya City fm,
Ushindi fm.

Hizo ni baadhi tuu ziko nyingi sana huwezi kuzimaliza kuanzia Mkuu. Currently we are working for TV stations.

 
Made in Mwanza from the scratch, investments kama hizi Mwanza ni za billon dollars kitu ambacho hata Chugga hawana...







Bado kuna Mwali Mpya Mv, Mwanza II Hapa kazi tu, billion 82



Wakizindua Mv. Mwanza inakuja tena nyingine ferry wagon tonne 3000, the largest in the great lakes kabla hamja poa
 
Njombe:ule mnara wa Bukoba na wa Njombe upi unapendezesha mji.Kiuhalisia Mnara Njombe ni super na unavutia kuutazama


View attachment 1887404
Mtu ukiliangalia Hilo kanisa lako la njombe linavutia kuliko hii cathedral ya bukoba bangi itakuwa imepanda kichwani kabisa




Tanzania nzima Hadi maaskofu wote wanakubali kuwa bukoba cathedral ndo kanisa zuri kuliko yote na ndani yake kazikwa Cardinali wa kwanza mweusi Duniani Kardinali Rugambwa.



Halafu kwenye sekta ya ukatoliki naomba usipatibue utakimbia hapa. Bukoba ni moja ya kitovu Cha ukatoliki nchini.


Hicho ulichopost ni kigango huko bukoba
 
Haka kamji kweli ni ka village town yaani hii picha imekusanya karibu kamji kazima,hakana tofauti na Lindi.
Kijana. Hio ni sehemu ya kata ya miembeni.
Ni mtaa maarufu wa cathedral hata sio town center.
Mimi nimepost kuonesha bukoba ilivyo na majengo mafupi na mnara mrefu wa kanisa ka Paris.
Usisahau bukoba kulitokea tetemeko 2016


Unajua kilometre za mraba za bukoba wew?
Unajua kutoka kwenda bandarini ni km 6,kwenda airport ni km 7 ,kwenda rwamishenye 5,kwenda katoma ni km 12,kwenda ibura ni km 17,kwenda kahororo veta ni km 14.


Halafu hio city center.
City ni bilele bukoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…