Kahama VS Njombe/Mafinga

Hzo hospital nyanda za juu kusin zipo za kutosha ndoo maana mnatoka hko mnaenda kutibiwa nyanda za juu kusini mfano ikonda
 
Hzo hospital nyanda za juu kusin zipo za kutosha ndoo maana mnatoka hko mnaenda kutibiwa nyanda za juu kusini mfano ikonda
 
Ni hivi achana na hao wala Michembe,usichese na watu wa Njombe tunashikilia uchumi wa mikoa 4 Tzn yaani Njombe,Mbeya,Iringa,Ruvuma na baadhi ya mikoa ya Songwe,Rukwa,Dar..

Hata kwenye madini sie ndio wanunuzi wakuu na hata mwenyekiti wa wachimbaji wadogo wa madini Tzn ni mtu kutoka Njombe sasa hao watatueleza nini ?
 
Uchumi my foot
 
Naona wewe mapanki unaweweseka Sana nilitarajia kila post utaijibu ikiambatana na picha kama nilivyoweka hapo juu kuanzia na universities sasa wewe umeenda hadi kuweka vyuo vya uchochoroni,nikianza kuviweka hivyo kwa Jiji mbeya utaaibika.

Kula mkeka huo hapo chini una vyuo 20







 
What is this ??? Panic mode huhh??




Mpaka vyuo vya wilayani yaani vipo Mbeya jiji??? Labda kama Mwanza Jiji inapambana na Mkoa mzima wa Mbeya..
 
Take 21-2=19..Mbeya CC 19,Mwanza CC 16 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† bado hauko salama.

Open University of MbeyaπŸ‘‡πŸ‘‡
Nimeona umeweka na TTC humo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Butimba TTC
Montesory TTC
Victoria Institute of Health and Allied Science
Bugando School of Nursing
Mkolani Nursing and Midwifery School
Mwanza polytechnic institute
Mkolani foundation health sciences training institute
Mwanza polytechnic institute
ESAMI - Mwanza
National College of Tourism - Mwanza campus
Mwanza campus - water Institute (On progress to be opened)
Jema Institute of Technology

Chukua Mwanza CC 16+12 unapata 28 na Mbeya watabaki na 19 bado

 
Kahama yenyewe tu, Kuna Fm radio kama nne au tano zinazotangaza kutoka Kahama


Kahama Fm
Divine Fm
Huheso Fm
Gold Fm
Mapanki acha kutia aibu yaani FM radio stations ndio za kulingia? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Njombe hizo hapoπŸ‘‡πŸ‘‡



 
Nimeona umeweka na TTC humo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Wewe TTC umeielewaje? Acha kukariri unafeli Sana mapanki hicho kichwa kama hakina ubongo unafugia nywele tuu una hasara πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Wewe TTC umeielewaje? Acha kukariri unafeli Sana mapanki hicho kichwa kama hakina ubongo unafugia nywele tuu una hasara πŸƒπŸƒπŸƒ
Nimeongeza na TTC Boss, haya Mwanza 28 Mbeya 19 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Nikisema Njombe ni wachache kwa Kahama, unataka kulia Kahama kuna radio nne zinazotangaza kutoka ndani ya Municipal. Huko Njombe mpaka mpige collabo na akina Makete eti?
View attachment 1886954
Hatuhitaji collabo na mtu hapo nili qourte outdated source.

Currently kuna fm radio stations zifuatazo Mjini Njombe πŸ‘‡πŸ‘‡

Kings fm radio,
Uplands fm radio,
Starter FM radio,
Radio Maria Tanzania Njombe station
Green fm radio,

Wilayani kuna zifuatazo,
County fm radio na Kitulo FM radio ziko Makete

Radio best fm ,Ludewa.
 
Nimekutajia vyuo vyenye hadhi wewe unaleta akina Tandabui and the likes,nikitaja hao basi hutamaliza kwa Mbeya.

Vyuo vikuu nimekuchapa unakimbilia kuleta college uchwara.
 
Nimekutajia vyuo vyenye hadhi wewe unaleta akina Tandabui and the likes,nikitaja hao basi hutamaliza kwa Mbeya.

Vyuo vikuu nimekuchapa unakimbilia kuleta college uchwara.
bora TTC kuliko Tandabui eti??? Tandabuhi unamuona mdogo na anamiliki Afya fm radio???? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…