Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbona husemi shida za mbeya? Au kwenyewe hazipo?!
 
Maendeleo msiwe mnaangalia mijini tu. Angalia vijijini pia.


Mkoa mzima wa kagera ukitoa bukoba hakuna mji mkubwa wa maana lakin vijijini ni Bora kuliko baadhi ya miji hapa bongo.


Ukiungalia mji wa bukoba asubuhi unakuwa na foleni watu wakiingia mjini kufanya shughuli mchana wakitoka vijijini kwao na jioni kunakuwepo foleni ya kutoka mjini kurudi vijijini.



Na mkijenga nyumba nzuri vijijini serikali itawafata tu kuwawekea huduma Kama inavyofanya kwa vijiji vya bukoba
 
unaziua hesabu kweli mkuu 3.2 ni mara kumi ya Laki tisa kweli.Halafu swala la population sio kigezo cha maendeleo kanda ya ziwa inapopulation kubwa ambayo haizalishi ni tegemezi ndio sababu ya umasikini kukithiri lake zone.Njombe 80% ya working class inazalisha na almost twenty percent ya wazee nao wanajitgemea kiuchumi.
 
Yaaa jiji la mwanza center ndo kila kitu ukuu pembezoni Hamna kitu bado ni changamoto, sema selikali inakazi kubwa Sana inatakiwa kuhakikisha barabara zinazounganisha wiliya na wilaya zinapigwa lami
 

Sawa Opportunity, mimi ni mwenzio hata hivyo, japo natokea Kusini Mashariki yaani Gas City, Korosho City!
 
Hebu angalia chimbuko la post yangu.


Jamaa anasema wahaya wanajenga nyumba nzr vijijini lakin hawakai huko

Sasa hizo nyumba anakaa mende au?



Na usiniquote vibaya. Population sio kigezo Cha maendeleo ndiyo.


Lakin saa nyingine sehemu zinakuwa na population kubwa Kama sababu hali inaruhusu mfano Kuna chakula,unafuu wa maisha, maisha ni Bora, huduma za kijamii nk
Mfano kagera Kuna wilaya zina hospital zaidi ya tano, barabara za lami,umeme na shule ka zote ndo maana zinakuwa na population kubwa.



Lakin population na density ya kagera Ina sababu chanya. Kagera hakuna majiji makubwa lakin una population density kubwa ya watu wanaokaa vijijini
1. Kuna low rural urban migration huko kagera kwa sababu ya hudumu kusogea vijijini.
2. Kagera watu wanaoishi mijini ni 3% ya watu wote wa kagera. Wengi hungangania vijijini.
3. Vijiji vya vinajitosheleza ndo maana watu hawapakimbii Sana.
4. Hali ya hewa ya bukoba sio baridi Wala sio joto
 

Je kuna tija au ni majengo ya kuishi popo? Kuna biashara yoyote? Kama hakuna ni baseless. Kujenga nyumba kubwa na nzuri zikiwa hazina watu ina maana gani?
 
Je kuna tija au ni majengo ya kuishi popo? Kuna biashara yoyote? Kama hakuna ni baseless. Kujenga nyumba kubwa na nzuri zikiwa hazina watu ina maana gani?
Kijana una uhakika nyumba zilizopo vijijini kagera kunaishi popo?

Hiv hiyo population ya 3.1 million ya kagera wanaishi wap Kama sio kwenye hayo majumba?


Population density ya kagera ambayo ni 124 per square metres inaishi wap Kama sio hayo majumba.



Ungekuwa rate ya Rural urban migration ni ndogo husingekuwa unaongea haya.




Bukoba asilimia 97 huishi vijijini kwenye hayo majumba.na hii ni asili ya wahaya kujipenda .
 
We pimbi, Kuna mkeka gani kwenda huko polini ikonda, kwa huko ikonda ndo mnaona ni bonge la hospitali lakini kwa huku hako ni kakituo ka Afya tu.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Sizitaki mbichi hizi,kama sio mkeka onyesha asphalt highway ya huko kwenu kama hata mnayo.

Onyesha hospital kama hiyo huko kwenu mwanangwa na Hungumalwa kama ipo.Kigeu geu πŸ˜†πŸ˜†β˜οΈβ˜οΈ.Aliyekuwa anasifia hiyo hospital baada ya kufika ni mimi au wewe?

Give credit where necessarily
 
Kibuyu kitupu hiki?

Wapi uliwahi soma sukuma resistance? How about Ngoni and Mkwawa(Hehe)

Uwage na akili,tutagawana fito mtakula hayo mawe huko.
 
Hiyo hospital ni nzuri kwa kiwango cha huko polini kwenu, hata muhimbili ni nzuri kiwango cha TZ lakin kwa kiwango cha America ni upuuzi mtupu
 
Hiyo hospital ni nzuri kwa kiwango cha huko polini kwenu, hata muhimbili ni nzuri kiwango cha TZ lakin kwa kiwango cha America ni upuuzi mtupu
Onyesha hospital acha kulia Lia kama ke,weka mziki acha maneno
 
Hayo majumba ni ya minority walioko mjini,hao madungayembe wengine wako hoi
 
Kibuyu kitupu hiki?

Wapi uliwahi soma sukuma resistance? How about Ngoni and Mkwawa(Hehe)

Uwage na akili,tutagawana fito mtakula hayo mawe huko.
We kweli kichwa nazi, yaani unazungumzia upumbavu wenu wa kuamini risasi kuwa maji!
Ila kweli nyie ni mandezi sana, Risasi kugeuka maji
, mliuawa kiboya sana kwa ujinga wenu, huyo mkwawa naye baada tu ya kuiona Germany Rolling machine akajinyonga bila hata kuguswa, kama sio undezi nini!! Ebu chekishia mwana wa kanda ya ziwa, mwana wa Tanganyika, Mwana wa Afrika Julius K. Nyerere pasipo hata kumwaga damu, yaani kwa akili kubwa tu akaing'arisha December Tanganyika ikawa huru.
 
Nataka nione sukuma resistance sio kuongea Sana kama yatima hapa.Nyerere mwenyewe tulimpa maarifa wenyewe na tukamlea.

Huko machimboni hakuna shule au taasisi hata moja iliyotoa viongozi zaidi ya viazi kama wewe hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…