Hotel au mighahawa iliyochangamka? 5Sema hivi amejiridhisha kwamba akijenga hotel huko Kahama itaishia kuwa makazi ya popo ila guest itawafaa Ili muendelee kupigana miti kama pacha kulingana na uwezo wao.
Njombe kuna hoteli nyingi kwa sababu kuna watu wenye kipato kulala Hotelini
TV station ya kusini ipi umejibu?Kila kitu kinajibiwa,Kusini ni
Nani wakujenga hotel njombe wewe, hivyo vilodge vya buku dala dala ndo mnaita hotelWewe ni kituko ,wenzako wamejenga mahoteli Njombe wewe unazungumzia guest Kahama?
Umeona picha ya hotel hata moja kutoka Kahama? Ushauri wa bure hiyo guest iwe kwa show time ndio utapata wateja huko Kahama.
Kwani huko Mwanza ziko wapi zaidi ya ile ya msaada ya nssf?Yaani uache kujenga Guest kwenye watu, ukajenge Hotel kwenye mashamba ya miti!!!! Hii hesabu ya wapi?????
Hizo Hotel zenyewe za Nyanda ya Juu kusini ziko wapi??? Kuna 5 star hotel kweli huko????
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Naona funza wametafuna hadi ubongo wako, Ni muda sasa wa kupakimbia huko mavumbiniKula parachichi na ngano u activate akili za kinyumbu ndio ukisoma sasa utaelewa.
Hizi ulizopost ndo lodge za igoma na kiseke huko.Kwani huko Mwanza ziko wapi zaidi ya ile ya msaada ya nssf?
View attachment 1883171
View attachment 1883172
View attachment 1883173
View attachment 1883174
View attachment 1883175
View attachment 1883176
View attachment 1883177
View attachment 1883178
View attachment 1883179
View attachment 1883180
View attachment 1883181
View attachment 1883182
Yaani Guest ndio mnaita hotel? ππππ Sio kila kagorofa basi ni hoteli, kiukweli ushamba ni mzigo mzito Sana.Nani wakujenga hotel njombe wewe, hivyo vilodge vya buku dala dala ndo mnaita hotel
Angalia hotel zilivyo hapo chini zinavyokuwaga;View attachment 1883167View attachment 1883169
Mwenye mtindio wa ubongo tuu kama wewe ndio anaweza kimbia sehemu nice kama hii ππNaona funza wametafuna hadi ubongo wako, Ni muda sasa wa kupakimbia huko mavumbini
Hizo hapa Mwanza Ni Lodge za kishiri huko nje ya mji ndo unatupostia hapa unaita hotel.Yaani Guest ndio mnaita hotel?Sio kila kagorofa basi ni hoteli, kiukweli ushamba ni mzigo mzito Sana.
Ukisikia hotel ujue ni good looking,awesome landscape just like this nice following in Njombe
View attachment 1883195
View attachment 1883196
ππππ Hii inaitwa sizitaki mbichi hizi.Weka 5 star hotel za Kanda ya maskini hapaHizi ulizopost ndo lodge za igoma na kiseke huko.
Za Kahama ziko wapi? πππ Njombe inachapa kote kote Kahama na Mwanza CityHizo hapa Mwanza Ni Lodge za kishiri huko nje ya mji ndo unatupostia hapa unaita hotel.
Cheki hotel ambayo huwaView attachment 1883204
Ilemela inapiga vijiji vyote vya kusini vikiongozwa na likijiji likuuubwa la kuitwa mbeyaZa Kahama ziko wapi?Njombe inachapa kote kote Kahama na Mwanza City
Njombe ndo upuuzi gani huo hapa Tanzania, kakijiji kamejengwa pembezoni kufuata barabara huku nyuma hivyo vijumba ni mapori tupu.Za Kahama ziko wapi?Njombe inachapa kote kote Kahama na Mwanza City
Empty words ,weka picha za Kahama ππππNjombe ndo upuuzi gani huo hapa Tanzania, kakijiji kamejengwa pembezoni kufuata barabara huku nyuma hivyo vijumba ni mapori tupu.
Kwa maneno inapiga ila on grounds iko hivi mbeya CC =15 b@Ilemela =7bIlemela inapiga vijiji vyote vya kusini vikiongozwa na likijiji likuuubwa la kuitwa mbeya
Hakuna Jiwe litaachwa,na hii iko nje huko ya jiji Mbalizi ππHizo hapa Mwanza Ni Lodge za kishiri huko nje ya mji ndo unatupostia hapa unaita hotel.
Cheki hotel ambayo huwaView attachment 1883204
Samahani mkuu kama nimekukwaza.Mimi sio kituko mkuu .Ndio mwanzo wa kuanza na mtaji wangu ni mdogo.Nachoangalia ni demand ya wateja hata kwa siku ukiweza kulaza laki mbili kwa Guest house yenye vyumba 20 ni income nzuri sana mkuu .Kuliko hela ikae bank na huku wanaendelea kuikata.Wewe ni kituko ,wenzako wamejenga mahoteli Njombe wewe unazungumzia guest Kahama?
Umeona picha ya hotel hata moja kutoka Kahama? Ushauri wa bure hiyo guest iwe kwa show time ndio utapata wateja huko Kahama.
Hapana mkuu ni uamzi wako na pesa zako,utani wa jukwaani ubakie jukwaani.Samahani mkuu kama nimekukwaza.Mimi sio kituko mkuu .Ndio mwanzo wa kuanza na mtaji wangu ni mdogo.Nachoangalia ni demand ya wateja hata kwa siku ukiweza kulaza laki mbili kwa Guest house yenye vyumba 20 ni income nzuri sana mkuu .Kuliko hela ikae bank na huku wanaendelea kuikata.