Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Onyesha hiyo mizigo kwenye Takwimu hapo au iko mdomoni mwako? Meko alitutia hasara Sana yaani unaweza tamani mgawane fito sio sisi tunazalisha afu wapuuzi wanaenda kutumia kwao pumbavu sanaMizigo ya kanda ya ziwa tu Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita pamoja na mizigo ya Rwanda na Uganda ni zaidi ya mizigo ya Burundi, Malawi Zambia na Congo kwa pamoja
Na kumbuka tunajenga sgr kwa ajili yetu sio kwa ajili ya majirani
Kuna nini cha maana huko zaidi ya umaskini wa kutopea?
Maskani ya umaskini na Ukimwi ni makete na maeneo yote ya kusini aka matakoni mwa Tanzania, umesikia we fukara.Makete huwezi linganisha na ufukara wa huko kwenu pimbi wewe,Takwimu gani uliwahi sikia zinasema Makete ni maskini?
Hujui kwamba Wilaya ya Mbinga pamoja na Nyasa ni Kati ya Wilaya zenye maendeleo nchi hii? Unadhani ni Misungwi kule?
Makambako ni Mji mkubwa tena wenye viwanda na biashara sio sawa na Vijiji vyenu hivyo vya Karagwe sijui Katoro na upuuzi mwingine kama huo.
Maskini wa kanda ya ziwa ndio wanasababisha hii nchi inaonekana LDC kwa coz zaidi ya kuzaana hovyo hakuna kingine cha maana mnafanya nyie
Stori yoyote unaweza Tunga,nasema hivi asiyekufahamu huko Kanda ya Ziwa akakutana na kenge kama wewe basi anaweza zani yuko Europe kumbe ni bush kunanuka umaskini hatari yaani ukianzia misungwi all the way to hungumalwa,Mallya,Ngudu,Salawe , Sengerema,Maswa nk yaani kumejaa umaskini wa hatari na kumepauaka sio poa.Safari hizo mie huwa nafanya sana, kwa kweli kusini bado sana, kwanza wakisikia umetoka kanda ya ziwa wanakushangaa wanaona unafaiiidi! Wanakuuliza habari za akina brother K waigizaji wa Futuhi, habari za watangazaji wa RFA, Star Tv na kiss FM kama nimewaacha wazimaafu nikirudi nikawasalimie, Last time nilisafiri Makambako to Mwanza nilikuwa nimekaa na Mama mmoja wa Mbeya akawa anasema 'huku kwenu ni pazuri sana, tulikuwa tunapaona kwenye TV kwenye msiba wa Magufuli', nami nikamuambia sasa unajionea live enjoy yourself na kesho yake nikamtembeza maeneo ya Rocky City.
Ingekuwa hivyo ungekuta tunatokea kwenye list za umaskini, unfortunately huwezi tukuta utawakuta akina Sengerema,kama kuna Ukimwi mbona hatujaisha sasa.Maskani ya umaskini na Ukimwi ni makete na maeneo yote ya kusini aka matakoni mwa Tanzania, umesikia we fukara.
Kuhusu hali duni ya kusini mwa Tanzania ni suala linalotambulika nchi nzima, akija mgeni kutoka nje ya nchi akakusoma we mbwa unachoandika humu!Stori yoyote unaweza Tunga,nasema hivi asiyekufahamu huko Kanda ya Ziwa akakutana na kenge kama wewe basi anaweza zani yuko Europe kumbe ni bush kunanuka umaskini hatari yaani ukianzia misungwi all the way to hungumalwa,Mallya,Ngudu,Salawe , Sengerema,Maswa nk yaani kumejaa umaskini wa hatari na kumepauaka sio poa.
Ukilima unashika roho mkononi Mazao yanaweza kukauka au kupona mvua hazitabiliki,vijiji vya huko huwezi linganisha na Vijiji vya kwetu Highlands. Binadamu timamu huwezi ishi Kanda ya Ziwa na ndio maana ukiulizwa washamba wa nchi ni wasukuma na jamii zoye za lake zone.
Linatambulika wapi,nikuwekee Ripoti zinazoonyesha mnavyoongoza kwa umaskini na kutia hasara nchi?Kuhusu hali duni ya kusini mwa Tanzania ni suala linalotambulika nchi nzima, akija mgeni kutoka nje ya nchi akakusoma we mbwa unachoandika humu!Anaweza sema ni kweli, serikali ilishauliwa iwape posho watumishi wake wa kusini sababu ya mazingira duni na magumu ya kusini.
TMizigo ya kanda ya ziwa tu Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita pamoja na mizigo ya Rwanda na Uganda ni zaidi ya mizigo ya Burundi, Malawi Zambia na Congo kwa pamoja
Na kumbuka tunajenga sgr kwa ajili yetu sio kwa ajili ya majirani
Hata wewe unatambua, sema tu unajifyatua akili hapa, sijui ARVs zinakutia wengeLinatambulika wapi,nikuwekee Ripoti zinazoonyesha mnavyoongoza kwa umaskini na kutia hasara nchi?
Hata ukicheki trend ya maendeleo kwa vigezo mbali mbali ,Kanda ya Ziwa ni ya mwisho..huko Kanda ya Ziwa huna cha kujidanganya nakufahamu hadi ndani ndani huko ukara kisiwani
Sijasema kanda ya kusini, nimesema kusini, Kama unataka nitumie neno 'kanda' basi namaanisha kanda ya kusini na kanda ya nyanda za juu kusini.Hata Kanda za nchi yako huzi jui ngoja tukupe elimu mikoa ya kusini ni Lindi na mtwara mikoa ya nyanda za juu kusini ni iringa njombe ,mbeya ,ruvuma ,songwe na rukwa ko inatakiwa ujue Hilo sio unaongea tu
Ungejua kahawa asilimia zaidi ya 70 inatoka kagera usingekoment kitu hapa. Na ni top ya mazao ya biashara hapa nchini.Pesa ipo Nyanda za kusini kwa Sasa hivyo maendeleo yapo Nyanda za juu kusini kwa Sasa.Bukoba ilikua inategemea Sana kahawa ambayo soko linacheza cheza tofauti na Nyanda za juu kusini Kuna vitu vingi Sana vya kuongeza mzunguko.Madini,kilimo,usafirishaji asilimia 70 ya mizigo inayoenda nje hupita Nyanda za juu kusini.
Hebu leta picha za vijijini huko njombe.Ukitaka kujua tofauti ya Nyanda za juu kusini na Kanda ya Ziwa basi Anza Safari ya Dar-Njombe-Mbeya au Ruvuma na Anza Safari ya Dar-Dodoma-Shinyanga- Mwanza au to bukoba makazi ya Kanda ya Ziwa bado ni duni Sana japo wengine Wana ng'ombe nyingi lakini haziwasaidii.Kanda ya Ziwa hadi leo jamii nyingi haziwezi kuongea kiswahili inabidi uwe na mkalimani.
Sasa hapo kwenye hizi picha kuna nini cha maana wewe umekiona?Hebu leta picha za vijijini huko njombe.
Huku ni vijijini huko bukobaView attachment 1879564View attachment 1879565View attachment 1879566View attachment 1879567View attachment 1879568
Kusini sio saizi yenu,Hospital ya Mji wa Tunduma.onyesha hata moja inayopatikana kijiji cha Sengerema au Tarime ππSijasema kanda ya kusini, nimesema kusini, Kama unataka nitumie neno 'kanda' basi namaanisha kanda ya kusini na kanda ya nyanda za juu kusini.
Godauni la mizigo ndo unaita hospital, cheki hospital zinavyokuwagaKusini sio saizi yenu,Hospital ya Mji wa Tunduma.onyesha hata moja inayopatikana kijiji cha Sengerema au Tarime
View attachment 1879630
View attachment 1879632
View attachment 1879633
Onyesha hospitali ya namna hii huko vijiji vya kusiniKusini sio saizi yenu,Hospital ya Mji wa Tunduma.onyesha hata moja inayopatikana kijiji cha Sengerema au Tarime
View attachment 1879630
View attachment 1879632
View attachment 1879633
Rufaa MbeyaOnyesha hospitali ya namna hii huko vijiji vya kusiniView attachment 1879657View attachment 1879658
Hii ni hospital au mabweni ya watoto wa shule? haaaaaOnyesha hospitali ya namna hii huko vijiji vya kusiniView attachment 1879657View attachment 1879658