Kijiji kikubwa ni Mbeya, hata mkuu wake wa mkoa wa kipindi hicho alipata kusema 'mbeya ni Kijiji kikubwa' Sie Ni nani tubishane na mkuu wa kaya husika!Sasa kuna nini cha maana kwenye hivyo vijiji? Hivi Kahama inaweza lingana kimiundombinu hata na Sumbawanga?
Afadhari Geita,Shinyanga walipata mradi wa ULGSP,Sasa vijiji vya Bukoba,Bariadi,Tarime,Katoro,Sirari na Sengerema haviwezi hata kusogelea Tunduma kwa kila kitu.
Kijana huu mji ndo wa kulinganisha na bukoba kweli?Hiki kijiji hata kwa Swax hakifikii japo kimejitahidi
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Tena Sio Karagwe Mjini, ni Omurushaka kabisaSwaxx ndo sumbawanga sio.
Kijana hebu toka huko kusini utembee kidogo.
Sumbawanga yako ni Kama mji wa karagwe hapo chini.
View attachment 1877825View attachment 1877826View attachment 1877827
Hujui kitu, hizo Kahawa huko Kusini hazipo?Pesa ipo Nyanda za kusini kwa Sasa hivyo maendeleo yapo Nyanda za juu kusini kwa Sasa.Bukoba ilikua inategemea Sana kahawa ambayo soko linacheza cheza tofauti na Nyanda za juu kusini Kuna vitu vingi Sana vya kuongeza mzunguko.Madini,kilimo,usafirishaji asilimia 70 ya mizigo inayoenda nje hupita Nyanda za juu kusini.
Safari hizo mie huwa nafanya sana, kwa kweli kusini bado sana, kwanza wakisikia umetoka kanda ya ziwa wanakushangaa wanaona unafaiiidi! Wanakuuliza habari za akina brother K waigizaji wa Futuhi, habari za watangazaji wa RFA, Star Tv na kiss FM kama nimewaacha wazimaUkitaka kujua tofauti ya Nyanda za juu kusini na Kanda ya Ziwa basi Anza Safari ya Dar-Njombe-Mbeya au Ruvuma na Anza Safari ya Dar-Dodoma-Shinyanga- Mwanza au to bukoba makazi ya Kanda ya Ziwa bado ni duni Sana japo wengine Wana ng'ombe nyingi lakini haziwasaidii.Kanda ya Ziwa hadi leo jamii nyingi haziwezi kuongea kiswahili inabidi uwe na mkalimani.
Mtu asiyekujua huko Kanda ya Ziwa anaweza dhani kwamba unaongea cha maana kumbe kumbe huko ndio kuna Nuka umaskini wa kila ainaSafari hizo mie huwa nafanya sana, kwa kweli kusini bado sana, kwanza wakisikia umetoka kanda ya ziwa wanakushangaa wanaona unafaiiidi! Wanakuuliza habari za akina brother K waigizaji wa Futuhi, habari za watangazaji wa RFA, Star Tv na kiss FM kama nimewaacha wazimaafu nikirudi nikawasalimie, Last time nilisafiri Makambako to Mwanza nilikuwa nimekaa na Mama mmoja wa Mbeya akawa anasema 'huku kwenu ni pazuri sana, tulikuwa tunapaona kwenye TV kwenye msiba wa Magufuli', nami nikamuambia sasa unajionea live enjoy yourself na kesho yake nikamtembeza maeneo ya Rocky City.
We jamaa ni maskini sana ndo maana unazungumziaga umasikini tu ukidhani kila mtu ni maskini kama wewe.Mtu asiyekujua huko Kanda ya Ziwa anaweza dhani kwamba unaongea cha maana kumbe kumbe huko ndio kuna Nuka umaskini wa kila aina
Wilaya kama Sengerema ni mfano tuu wa Wilaya maskini za kutupwa,ina watu Zaidi ya 600,000 lakini umewahi isikia popote kwenye kuchangia uchumi kama Wilaya za Nyanda za Juu?Hujui kitu, hizo Kahawa huko Kusini hazipo?
Mada hii haizungumzii maisha ya individual bali maisha ya whole society.We jamaa ni maskini sana ndo maana unazungumziaga umasikini tu ukidhani kila mtu ni maskini kama wewe.
Kusini ndo maskani ya umasikini serikali yenyewe ishakusahau, ndo maana toka rais aingie madarakani keshatembelea kanda ya ziwa mara mbili wakati kusini bado hajawahi hata kufikiria kwenda. Ni kusini matakoni mwa Tanzania mtu akiajiriwa akapangiwa kusini analia, wengine wanaacha kazi.Mada hii haizungumzii maisha ya individual bali maisha ya whole society
Mizigo ya kanda ya ziwa tu Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita pamoja na mizigo ya Rwanda na Uganda ni zaidi ya mizigo ya Burundi, Malawi Zambia na Congo kwa pamojaKwa Takwimu hizi,huwa najiuliza sgr inajengwa kuelekea Mwanza kwa ajili ya nini?
View attachment 1879432
Kwani makete, namtumbo, mbambabay, Makambako, nk kuna nini zaidi ya ufukara uliotopea, kama umaskini wako haunihusu wewe umaskini wa watu wengine unakuhusu nini?!Mada hii haizungumzii maisha ya individual bali maisha ya whole society.
Suala la mimi kuwa maskini halikuhusu,Nasisitiza huko kwenu kunanuka umaskini wa kutisha,sehemu kama Sengerema,Ukerewe,Ngudu kuna nini cha maana kuzidi Wilaya kama Busokelo?
Wewe Mwenyewe huijui kanda ya ziwa ndo maana unaona hivyo vijiji vya kusini matakoni wa Tanzania ni miji wakati hata kiongozi wenu alikiri hilo mnaloliona kwenu ni jiji kumbe sio jiji, Ni Kijiji kikuuubwa!Mtu asiyekujua huko Kanda ya Ziwa anaweza dhani kwamba unaongea cha maana kumbe kumbe huko ndio kuna Nuka umaskini wa kila aina
Kuna nini cha maana huko zaidi ya umaskini wa kutopea?Wewe Mwenyewe huijui kanda ya ziwa ndo maana unaona hivyo vijiji vya kusini matakoni wa Tanzania ni miji wakati hata kiongozi wenu alikiri hilo mnaloliona kwenu ni jiji kumbe sio jiji, Ni Kijiji kikuuubwa!
Makete huwezi linganisha na ufukara wa huko kwenu pimbi wewe,Takwimu gani uliwahi sikia zinasema Makete ni maskini?Kwani makete, namtumbo, mbambabay, Makambako, nk kuna nini zaidi ya ufukara uliotopea, kama umaskini wako haunihusu wewe umaskini wa watu wengine unakuhusu nini?!