Kahama VS Njombe/Mafinga

Miji ya kanda ziwa ni habari nyingine huwezi linganisha na kusini, hata kama kwa msaada wa serikali, serikali inawekeza zaidi miundombinu kanda ya ziwa kuliko huko kusini kwenu.
Zaidi ya kuwekeza hapo Mwanza kuna sehemu gani kwingine kuna miundombinu? Miji ya huko ni ya kichovu Sana.
 
Hahaha ulipita barabaran ndo unaanza ku compare hapo umefeli sana kumbuka hii miji mitatatu Ina jiografia tofauti sana mafinga ni rahisisi kuuona mji wote tofauti na miji ya njombe na makambako ko usikae ukaanza kusimulia kwa mtu Alie tembelea hii miji atakucheka unacho kiongea maana njombe ni mji ulio kwenye milima na mabonde na makambako eneo lake kubwa ni tambalale
 
Na hata suala la miundombinu mingi Kama lami za barabara za mitaa njombe na makambako zpo mbali mno ukilinganisha na mafinga yenye km 10 mji mzima
 
Sasa kwa upuuzi wako hukumbuki kipindi Magu anasema alitolea mfano wa jiji la Mwanza ambapo Nyamagana ndo City Council. Lakini umeshindwa kuonyesha Mwanza CC ni Nyamagana lakini umeweza kuonyesha Dar CC ni Ilala
Hakika
 
Apoo unafeli Sana makambako na njombe zipo mbali sana angalia hata idadi ya watu nayoo itakupa majibu wapi pakoo vizuli, wee tatizo gorofa la mafinga balabalani palee ndo limekupoteza iloooo
 
Musoma, Geita, Kahama, Bukoba, Bariadi, Shinyanga, Sirari, Tarime, Katoro, Sengerema,nk
Sasa kuna nini cha maana kwenye hivyo vijiji? Hivi Kahama inaweza lingana kimiundombinu hata na Sumbawanga?

Afadhari Geita,Shinyanga walipata mradi wa ULGSP,Sasa vijiji vya Bukoba,Bariadi,Tarime,Katoro,Sirari na Sengerema haviwezi hata kusogelea Tunduma kwa kila kitu.
 
Kijana uliwahi fika bukoba?
Maana unaitaja taja tu eti Kijiji?


Huko kusini ukitoa mbeya na iringa hakuna mji unaoweza ufikia bukoba kwa lolote.labda stendi ya mabasi maana ndo ilishindikana.


Nitajie sehemu ya huko bukoba mjini ambayo haina barabara ya lami.

Husisahau bukoba ndo Kuna bandari na busy airport kubwa baada ya mwanza.
 
Mwambie kabisa ATCL / Precision air zipo kila siku (Dar-Mwz-Bukoba na Bukoba-Mwanza-Dar) x2
 
Mwambie kabisa ATCL / Precision air zipo kila siku (Dar-Mwz-Bukoba na Bukoba-Mwanza-Dar) x2
Watu wengine bwana wanafikiri mji ukiwa mbali Sana na dar ndo Basi Kijiji.
Bukoba airport ipo top five ya viwanja vilivyo busy bongo.



Kusini huko hakuna mji Wala watu wanaoweza shinda na bukoba na watu wa bukobaView attachment 1877695
 
Niko hapa nakitazama hiki Kijiji cha bukoba
.


We mtu ya njombe unatumia Cha Arusha labda
 
Tatizo lako hizo sehemu zote hujawahi kufika, kwa taarifa yako Geita yenyewe haioni ndani kwa kahama. Na kwa taarifa yako ukitoa mbeya hakuna mji hata mmoja huko kusini unaofikia KAHAMA
 
Hiki kijiji hata kwa Swax hakifikii japo kimejitahidi
Swaxx ndo sumbawanga sio.


Kijana hebu toka huko kusini utembee kidogo.




Sumbawanga yako ni Kama mji wa karagwe hapo chini.

 

Attachments

  • Screenshot_20210101-163931.jpg
    35.3 KB · Views: 6
  • bk%20airp.PNG
    215.3 KB · Views: 7
Tatizo lako hizo sehemu zote hujawahi kufika, kwa taarifa yako Geita yenyewe haioni ndani kwa kahama. Na kwa taarifa yako ukitoa mbeya hakuna mji hata mmoja huko kusini unaofikia KAHAMA
Huyo jamaa ni wa kupuuzwa.

Wala hajawahi fika Kanda ya ziwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…