Masoko yote mapya yanashida sababu inajulikana sera ya uuzaji holela wa bidhaa ndio sababu,watu wametapakaa mtaani na bidhaa ambako hawalipi ushuru na wanauza popote,tatizo liko nchi nzima nenda Morogoro tatizo,Dodoma tatizo,Bado kutakua na shida kisutu,Magomeni pia.Hivyo kukosekana wateja ndio sababu ya masoko kuyumba.Serikali isipofumba macho masoko yatageuka magofuView attachment 1823017wale wa njombe nn shida apoo soko la Bei mbaya afuu wateja Hamna na wafanyabiashara wanazulula njee hawataki kulitumiaa mnafeli wapppp?
Iyoo ndo changamoto ya masoko mengi apoo itabidi serikali ichukue Kodi kidogo Sana ili kuwashawishi waludi ndani soko la njombe liko poa halijaenda Sana juu tofauti na kisutu na machinga complex ayoo ni vigumu kuwashawishi wafanyabiashara watumie mfano Nani umpandishe floo ya5 au ya nne hayako poa ilaa kwa njombe halmashauri ikijipanga watu watajaa sokoni au waweke kituo Cha daladala au bajaji kalibu na sokoo apoo watashinda tuuuMasoko yote mapya yanashida sababu inajulikana sera ya uuzaji holela wa bidhaa ndio sababu,watu wametapakaa mtaani na bidhaa ambako hawalipi ushuru na wanauza popote,tatizo liko nchi nzima nenda Morogoro tatizo,Dodoma tatizo,Bado kutakua na shida kisutu,Magomeni pia.Hivyo kukosekana wateja ndio sababu ya masoko kuyumba.Serikali isipofumba macho masoko yatageuka magofu
Waachane na biashara kichaa ya kutumia pesa ya mwananchi eti kujenga soko la mabilioni sawa tuu na kujenga mastendi ya magorofa ni hasara tupu kuliko tija.Iyoo ndo changamoto ya masoko mengi apoo itabidi serikali ichukue Kodi kidogo Sana ili kuwashawishi waludi ndani soko la njombe liko poa halijaenda Sana juu tofauti na kisutu na machinga complex ayoo ni vigumu kuwashawishi wafanyabiashara watumie mfano Nani umpandishe floo ya5 au ya nne hayako poa ilaa kwa njombe halmashauri ikijipanga watu watajaa sokoni au waweke kituo Cha daladala au bajaji kalibu na sokoo apoo watashinda tuuu
Stendi za gorofa apoo wanazingua tunatumia pesa nyingi Kati stendi ni kuweka vigai chini na majengo ya abilia na kukatisha tiketi yaan izo pesa wangetumia kujenga barabara at least ingesaidia kuliko kujenga masoko ambayo hayatumikiiiWaachane na biashara kichaa ya kutumia pesa ya mwananchi eti kujenga soko la mabilioni sawa tuu na kujenga mastendi ya magorofa ni hasara tupu kuliko tija.
Mtu anaepokea salary ya serikali hawezi kubuni biashara yenye tija la sivyo hayo majengo yawe huduma.
Ndio maana kishimba wa Kahama kawauliza huko Bungeni wanaosoma CBE na wamachinga wapi wanaishia kuwa wafanyabiashara au wabunifu wa biashara?
Kujenga soko ni kitu kizuri tatizo linakuja tunapotaka sifa za machinga au wafanyabiashara,huwezi Jenga soko hapo hapo ukasema watu wawe huru kuuza wanapotaka kwaniv hii ni ishara wa watu wasiopenda kua na mpangilio ila wangeweza kutumia mfumo wa mlimani city kwa masoko ya kawaida.Ubunifu unahitajika kusaidia haya masoko aisee.Stendi za gorofa apoo wanazingua tunatumia pesa nyingi Kati stendi ni kuweka vigai chini na majengo ya abilia na kukatisha tiketi yaan izo pesa wangetumia kujenga barabara at least ingesaidia kuliko kujenga masoko ambayo hayatumikiii
Kujenga soko sio shida. Tatizo unalijenga wap? Ni Kama kwenye kujenga appartment au nyimba za kupanga.inategemea umejenga wap.Waachane na biashara kichaa ya kutumia pesa ya mwananchi eti kujenga soko la mabilioni sawa tuu na kujenga mastendi ya magorofa ni hasara tupu kuliko tija.
Mtu anaepokea salary ya serikali hawezi kubuni biashara yenye tija la sivyo hayo majengo yawe huduma.
Ndio maana kishimba wa Kahama kawauliza huko Bungeni wanaosoma CBE na wamachinga wapi wanaishia kuwa wafanyabiashara au wabunifu wa biashara?
Huwa wananiboa Sana,hivi stendi kama ya Kibaha au Simu 2000 au Korogwe ina shida gani?Stendi za gorofa apoo wanazingua tunatumia pesa nyingi Kati stendi ni kuweka vigai chini na majengo ya abilia na kukatisha tiketi yaan izo pesa wangetumia kujenga barabara at least ingesaidia kuliko kujenga masoko ambayo hayatumikiii
Ndo icho mkuu serikali inajenga soko kwa ajili ya machinga lakini wanajenga la hadhi ya juu tofauti na la wamachinga Kati wa machinga inatakiwa wawasaidie maswala ya umeme na bati kwajili ya kujikinga na mvuaKujenga soko ni kitu kizuri tatizo linakuja tunapotaka sifa za machinga au wafanyabiashara,huwezi Jenga soko hapo hapo ukasema watu wawe huru kuuza wanapotaka kwaniv hii ni ishara wa watu wasiopenda kua na mpangilio ila wangeweza kutumia mfumo wa mlimani city kwa masoko ya kawaida.Ubunifu unahitajika kusaidia haya masoko aisee.
Hata kwa makambako mpango wao wa kujenga stendi kipagamo naona hauko sawa Basi nyingi zinapita tuu itabidi waiboleshe iii ya Sasa afuu ni Ina eneo kubwa lakutosha iyo pesa kwajili ya stendi ya kipagamo wajenge barabara za kwenda vijijini kwa kiwango Cha lamii itasaidia sanaaaaHuwa wananiboa Sana,hivi stendi kama ya Kibaha au Simu 2000 au Korogwe ina shida gani?
Kwa nini kupoteza mabilioni eti kujenga mastendi ya ghorofa kama Msamvu,Iringa, Sumbawanga, Magufuli ya Kazi gani? Wanapoteza kodi za watu,hii miradi uchwara ni sawa tuu na hiyo ya kujenga masoko makubwa ya ghorofa.
Machinga complex,mwanjelwa market,Njombe nk yote hayo yako tuu hayana tija kwa watu
Imetuzidi mbali au sio?Kahama imewazidi mbali huwezi linganisha na mapori hayo usipanic relax tukupe dozi inaoneka na makambako ulikuwa huijui kuwa imesha wapiga gap
Hako Kakijiji hakana picha ya Mji mzima wala video ya drone hata moja .Achen kutuletea video za misiba tupieni miradi ya mapato hapa
Hapo mpaka tumalize na Geita na Kibaha TC ndio tutawafikiria
Uzuri wa hi miji ya njombe na makambako kila siku tunaizungukia tunajua project zote zinazo endelea hatusubilii waandishi wa habari waandikeHako Kakijiji hakana picha ya Mji mzima wala video ya drone hata moja .
Soma hiyo
View attachment 1825054
View attachment 1825055
Kwa hapo kama mtu mmoja akapata hata laki moja tu kwa mwezi, manake Kahama ina uhakika wa kuongeza zaidi ya Tzs Bilioni 4 kila mwezi kwenye mzunguko wa pesa.Bulyanhulu na Buzwagi ina ajiri zaidi ya watu 4000, ni kipi Njombe kinaweza kutoa ajira za moja kwa moja kama hiyo migodi?! View attachment 1825946View attachment 1825947View attachment 1825949View attachment 1825950View attachment 1825951View attachment 1825953
Hivi Kahama unaiona kama periphery? 90% ya huduma unazoweza pata Mwanza jiji Kahama mjini huzikosi...
Hospital ya wilaya ya kahama hovyo. Mji hauna hata city centre ni hovyo tu.Huduma za jamii zipi Shinyanga inaizidi Kahama?
Mkoa wote wa Shinyanga unabebwa kimapato na Kahama. Serikali inashindwaje kuwekeza kwenye huduma bora za kijamii sehemu inayochuma pesa??
Uache kulinganisha KAHAMA na vitu vya kijinga...
Kwa hapo kama mtu mmoja akapata hata laki moja tu kwa mwezi, manake Kahama ina uhakika wa kuongeza zaidi ya Tzs Bilioni 4 kila mwezi kwenye mzunguko wa pesa.
Hizo pesa na ndogo Sana na hao watu ni wachache sana,Njombe kwenye mashamba ya chai na vitalu vya miti ya parachichi imaajiri watu zaidi na kulipa pesa zaidi tofauti ni kwamba inakuwa Kazi za msimu vs za kudumuBulyanhulu na Buzwagi ina ajiri zaidi ya watu 4000, ni kipi Njombe kinaweza kutoa ajira za moja kwa moja kama hiyo migodi?! View attachment 1825946View attachment 1825947View attachment 1825949View attachment 1825950View attachment 1825951View attachment 1825953