Kahama VS Njombe/Mafinga

Kuingia karibu miji 45 imengia swala ni miji gani ataanza awamu ya kwanza yaani ADA 20,Kijiji chenu hakipo kitakuwa mwishoni mwishoni huko
 
Hii ni gest haina muonekano wa kuvutia wa hotel kama za Njombe
Hahahaha na bado lazima maji useme mma maana dalili za kuishiwa hoja usijaribu kugusa miji ya kibabe kama makambako tafutaga miji ya mashamba Kama wa hko
 
Hii ni warehouse au kanisa?
Acha dharau Kwan huon watu wenye Pesa zao wana fanya mambo so umekariri ukiona jengo kubwa unajua wirehouse hatukushangai si umezoea kuona kanisa Kama nyumba ya mtu njoo uyaone mabangaloo makambako
 
Kuingia karibu miji 45 imengia swala ni miji gani ataanza awamu ya kwanza yaani ADA 20,Kijiji chenu hakipo kitakuwa mwishoni mwishoni huko
Hilo subiri mwakani tunaangalia maendeleo ya Sasa njombe mnapenda misaada ss mapato yenu yanafanya kazi gani halimashari za wajanja Kama makambako ndo zinafaidi hayo mapato
 
Hebu mwambie munjombe akusaidie kutafuta kanisa la kkkt Kama hili njombe kama lipo me naacha kuchangia uzi huu usituletee hostel maana hata makambako zipo na kanisa Kama hili bkwa makambako yapo mawili
 
Usilo lijua haya makanisa ya kkkt Tanzania yalikuwa matatu tu ndo yenye uwezo wa kuingiza waumini wangi kwa Mara moja sio mtu unalopoka tu tulia upewe dozi na dsm yapo mawili na moja ndo Hilo la makambako hizi ni heavy project na hili hapa lipo mbezi beach dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…