Kahama VS Njombe/Mafinga

Mara hotel hamna hii nn kwote hko ni kukosa point na bado project zinaendelea
 
Rc nyingine hii asije akakali akajua ni Kama kwao njombe kanisa limekuwa kitambulisho utadhani round about
 
Na saiz mambo ya kutalii ruhuji yamekatika mwendo ni mpanga kipengele via mbeya road
 
Ofisi zao zipo km 27 ukitoka round about makambako watu full kwenda ku enjoy et Eden njombe hahaha unatuletea story za miaka 47 saiz ukifika makambako kuna kampuni za kitalii zinakupeleka mpanga kipengele chap
 
Mambo ni fire mpanga kipengere unalala zako makambako kampuni zinakupeleka hko na kwa mjibu wa tawa ndo hifadhi inayoongoza kuingiza watalii wengi nyanda za juu kusini ni hifadhi iliyo umbali wa km 52 ukitoka makambako mjini fursa na ofisi za makao makuu ya hii game reserve ni km 28 toka round about makambako barabara ya mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…