Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Mada ni Kahama vs Njombe hicho kijiji cha Makambako kitafute size yakeWe ndo huelewi kitu Sasa hivyo vihotel uchwara vinautofauti gani na uwekezaji wa visima vya mafuta na kumbuka huu uwekezaji wa visima vya mafuta na gorofa pia unasidia kubadilishana madhari ya mji
Mkoani ni Makambako au Njombe?Kumbuka hapo mapato yake ni ya mkoa au huelewi kujengwa njombe sio shida we ongelea ya mji ya kibena
Banks ni crdb,nmb,nbc na postal bank hizo zingine ni waganga njaa hata zisipokuwepo hazipunguzi chochoteNa makambako Kuna benk mpya ambayo njombe haipo ni letshego bank
Tuna vyanzo vingi vya maji kuliko hicho kijiji chenu semi arid usijitoe ufahamu..na shida kubwa ya maji iko huko kwenu kuliko NjombeHebu aangalie mradi unaofadhiliwa na India kati ya njombe na makambako wapi wamepewa Pesa nyingi makambako tc billion 41 njombe bl 28 Sasa wapi kutasambazwa zaidi anaongea nn huyo
Kwenye hayo malori ya taka tulishahama nyie ndo mnatambaa ndio maana tunapata vyeti vya kuongoza usafi kila mwakaNa haya ndo matokeo chanya ya mapato ya ndani sio kujisifu tunakusanya Pesa nyingi Zina fanya nn
View attachment 1814932
Hahaha dalili za kufeli point hzo Mara shell sio maendeleo we jamaa mtu hawez kuwekeza shell yako sehemu ambayo ipo nyuma kimaendeleo ndo maana wanajua miji ya maendeleo wanawekeza shell kwa wingi Sasa njombe Ina eneo la km 3000 sq sheli zipo12 makambako yenye km 800 na point Ina shell karibia 20 haha huo ndo uwekezaji wa ndaniMada ni Kahama vs Njombe hicho kijiji cha Makambako kitafute size yake
Mlitoka wap onyesha Kama sio unaongelea ya njombe dc nyie wa matrektaKwenye hayo malori ya taka tulishahama nyie ndo mnatambaa ndio maana tunapata vyeti vya kuongoza usafi kila mwaka
Bidhaa zetu zinauzwa Ulaya wewe wageni njaa kutoka Burundi wanakusaudia nini?
Kwa nini mtu asiwekeze viwanda makambako aanze kuhangaika na porini njombe hiyo ni njia ya reli toka southHuku ndio kutojiamini yaani hadi vituo vya mafuta ni maendeleo
Izoo zote za muhimu makambako zipoo ila njombe ipoo mkombozi benk na makambako ipoo letshego bankBanks ni crdb,nmb,nbc na postal bank hizo zingine ni waganga njaa hata zisipokuwepo hazipunguzi chochote
Hahaha acha kujifariji shida ya maji ni kubwa mno njombe sema si mmezoea kuchota mtoni Hadi vigimbi vimekomaaTuna vyanzo vingi vya maji kuliko hicho kijiji chenu semi arid usijitoe ufahamu..na shida kubwa ya maji iko huko kwenu kuliko Njombe
Washazoea kupanda vilima lazma miguu ikomae sio poaaaHahaha acha kujifariji shida ya maji ni kubwa mno njombe sema si mmezoea kuchota mtoni Hadi vigimbi vimekomaa
Bora kufeli ila mada ni Njombe vs Kahama,ligi ya heavy weights hivyo vijiji tafuteni size yenu muanzishe ligiHahaha dalili za kufeli point hzo Mara shell sio maendeleo we jamaa mtu hawez kuwekeza shell yako sehemu ambayo ipo nyuma kimaendeleo ndo maana wanajua miji ya maendeleo wanawekeza shell kwa wingi Sasa njombe Ina eneo la km 3000 sq sheli zipo12 makambako yenye km 800 na point Ina shell karibia 20 haha huo ndo uwekezaji wa ndani
Shida ya maji iko huko jangwani Makambako sio Njombe huku ni bustani ya EdenHahaha acha kujifariji shida ya maji ni kubwa mno njombe sema si mmezoea kuchota mtoni Hadi vigimbi vimekomaa
Next year utekelezaji wa IDA 20,,Njombe imo hivyo vijiji vyenu vya Makambako mtasubiri sana. Soma hiyoHapo uswekeni tu. Mji utakuwa Njombe ? We vipi ?
Hahaha ungekuwa unafatilia bungeni unge jua miji gani Ina husika makambako ilisha ingia kitambo au fatilia maswali ya mbunge Alisha jibiwa swali Hilo na akaomba waanze na soko unaongea nn ww makambako Ina wanyima raha kwenye huo mradi imo kazi iendeleeNext year utekelezaji wa IDA 20,,Njombe imo hivyo vijiji vyenu vya Makambako mtasubiri sana. Soma hiyoView attachment 1815263
Eden ya mapori labdaShida ya maji iko huko jangwani Makambako sio Njombe huku ni bustani ya Eden
Hevy weight iwemo mashambani njombe labda ungekuwa mji mwingineBora kufeli ila mada ni Njombe vs Kahama,ligi ya heavy weights hivyo vijiji tafuteni size yenu muanzishe ligi
Shida ya maji iko huko jangwani Makambako sio Njombe huku ni bustani ya Eden