Kahama VS Njombe/Mafinga

Sawa itawanufaisha lakini sio Sana kwasababu yote iyoo ni miladi ya selikali mfano barabara ya lupembe mkoa mzima wa njombe utanifaika hasa njombe Dc kwasababu kilimita ka zote zinawausu hata ss makambako tutanufaika kwasabu kutakua na Basi toka mk Hadi Moro, mlimba,ifakara na dsm kupitia iyoo njia. Afuu na miladi iyoo ya umeme wote itatunufaisha kwasababu serikali haizalishi umeme kwajili ya njombe mjini tuu ndo Mana umeona watausafirisha kwenda madaba kwaiyoo iyoo miladi haitachochea mapato kivilee
 
Hahaha mmekutana wa porini naona mnafarijia na mapori yenu makambako lazima iwaonyeshe Moto
 
Unachafua uzi wa ma heavy weight Njombe vs Kahama ,anzisha uzi wa Makambako vs Njombe ndio uweke huo ushuzi wako
Kahama imewazidi mbali huwezi linganisha na mapori hayo usipanic relax tukupe dozi inaoneka na makambako ulikuwa huijui kuwa imesha wapiga gap
 
Achen kutuletea video za misiba tupieni miradi ya mapato hapa
 
Kwa wakazi wa kiumba kituo Cha afya hicho kinaendelea kunoga makambako ni πŸ”₯ kila Kona hatushindani vijiji vingi ss
 
Hizo guest zenu saiz zitalala panya njombe kazi imeanza na bado soon tunaleta za ludewa dar
 
Unadhani kwa nini serikali isipange hayo huko Makambako?

Soma hiyo
 
Kahama imewazidi mbali huwezi linganisha na mapori hayo usipanic relax tukupe dozi inaoneka na makambako ulikuwa huijui kuwa imesha wapiga gap
Wewe ni msemaji wa Kahama au? Weka video za Makambako kama ya Njombe hapa
 
Huku ndio kutojiamini yaani hadi vituo vya mafuta ni maendeleo
Kwan wee tunavyoongelea maendeleo ya mjii unaelewa nn? Maendeleo ya mji tunazungumzia muonekano wa mjii kwaiyoo we huoni Kama izoo sheli zimebadilisha muonekano tofauti na zamani kwaiyoo apaa tunaongelea mabadiliko yanayotokea ktk mjii. S ndo ka magorofa Kwan yanauhusiano gani na maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…