Mwajombe jr
Member
- May 20, 2021
- 84
- 57
Sikia mkuu kuwa na mapato mengi haimaanishi wananchi wote n matajiri mfano apoo Njombe unaweza kuta pato ndio ni kubwa lakini wanaochangia n wachacheeJibu hoja Acha porojo za kusambaa sijui nini.
Huko kusambaa kunasaidia nini kama mnaishia kuwa maskini?
Nimekwambia Tunduma mnayofanana huko kusambaa unapesa nyie veepe?
Mapato yapoo ka kungekua Hamna kitu tunachokusanya usingee ona maendeleo tunayoyapataa na usingeona makampuni yanakuja kujenga viwandaaUsilete hadithi za kufikirika,Njombe haijawahi pata hati chafu Mapato yote yanatumika ipasavyo
Mapato ya Makambako yako wapi? Hicho si ni kijiji tuu?
Kwaiyoo apoo umekubali makambako imesambaa kuhusu umaskini wee tupe muda uwekezaji ukamilike mwenyewe utaflai😂😂😂Jibu hoja Acha porojo za kusambaa sijui nini.
Huko kusambaa kunasaidia nini kama mnaishia kuwa maskini?
Nimekwambia Tunduma mnayofanana huko kusambaa unapesa nyie veepe?
Makampuni hayaletwi na Halmashauri bali location ya eneoMapato yapoo ka kungekua Hamna kitu tunachokusanya usingee ona maendeleo tunayoyapataa na usingeona makampuni yanakuja kujenga viwandaa
Kwaiyoo apoo umekubali makambako imesambaa kuhusu umaskini wee tupe muda uwekezaji ukamilike mwenyewe utaflai
Wengi wanachangia maana wengi wao ni shughuli za kawaida za uzalishaji ,sio lazima kila mtu kuwa tajiri.Sikia mkuu kuwa na mapato mengi haimaanishi wananchi wote n matajiri mfano apoo Njombe unaweza kuta pato ndio ni kubwa lakini wanaochangia n wachachee
Ndo hayo yanaisaidia halmashauri kusonga mbelee ndo kama kahama bila uwekezaji wa madini Hamna kitu kulee sa sijui njombe ka mkoa liganga na mchuchuma Mambo bado ni magumuuMakampuni hayaletwi na Halmashauri bali location ya eneo
S ndo ka nyie toka muda mnaongelea ishu ya kuwa manispaaa tunawapa muda mtakua tuu pigeni kazi mzee s ndo tunakuja ivyoo na speed ya fast jetwengine tutakuwa tumeaimama tunawapa mda nyie haaaa
Ndo tunakuja ivyoo mkizubaa tuu tunawaovertake chapuu kwaiyo mjiandae kisaikolojiaS ndo ka nyie toka muda mnaongelea ishu ya kuwa manispaaa tunawapa muda mtakua tuu pigeni kazi mzee s ndo tunakuja ivyoo na speed ya fast jet
Kwasababu ivv vitu havitabiliki unashangaa siku yoyote Raisi kaja palee pamemvutia, ameupenda uwekezaji uliofanyikaa anatangaza Sasa makambako ni manispaa si ka kilichowakuta kahama bila Raisi kufanya ziara saiv wangekua under dog tuuuNdo tunakuja ivyoo mkizubaa tuu tunawaovertake chapuu kwaiyo mjiandae kisaikolojia
Umengangania mapato hivi hujawai jiuliza kuwa kabla ya 2019/2020 njombe mapato yake yalikuwaje ndoo maana tulikwambia vyanzo vya mapato njombe so stable hii miaka mitatu soko la parachichi lilikuwa vizur likiyumba tu hutoamini hizo figure unazo baki unaandika ndo maana viongozi waelewa Kama makambako wanatengeneza vyanzo vya kudumu vya mapato sio njombe na Jambo la kuiongelea tunduma ile ni border lazima mapato yatakua juu miaka yoteSiku ukipata akili japo kiduchu hutokaa uandike pumba.
Nataka majibu hapa inakuaje kwenye pori (Njombe TC) kunazalisha pesa nyingi kuliko mjini(Makambako)?
Tunduma ilipata hadhi pamoja na Makambako,wao wanaonesha kwa vitendo kwa kukusanya pesa ya kutosha sasa hapo kwenu Veep? Makambako ni Mji au kijiji kikubwa?
Naasubiri soon Kuna ziara ya uzinduzi wa viwanda kwa mjibu wa mkuu wa mkoaNdo tunakuja ivyoo mkizubaa tuu tunawaovertake chapuu kwaiyo mjiandae kisaikolojia
Ndo tunakuja ivyoo mkizubaa tuu tunawaovertake chapuu kwaiyo mjiandae kkisaikolo
Uwingi wa mapato sio maendeleo nilisha mwelekeza inatakiwa ajiulize toka wanaongoza kimapato kitu gani kikubwa wamewekeza kupitia mapato ya ndani maana makambako anayoisema Ina mapato madogo kupitia hayo mapato wanajenga stendi ,kituo Cha afya kitandililo ,wame nunua magari ya taka ,zahanati hizo ndo zimemwagika balaa ,soko kubwa la mazao kiumba. Mna kipi Cha ziada maana barabara zpo chini ya TARURA nao ndo wamepiga lami za kutosha asilimia 90 centre Ina lami mna jipya na mapato yenu hayoMapato sio tatizo Kaka unaweza kuwa na mapato mengi lakini viongozi hawayatumii vizuri ndo tatizo naloliona Apo njombe mfano stendi mpya ilichukua muda mwingi mbaka magufuli kawafosi ianze kazi kwaiyo viongozi wenu n tatizoo ilooo kwaiyoo itabidi ujiulize ayaa mapato tunayopataa yanatumika ipadavyoo
Na swala la hati za halimshaur huo ni mchezo wanaojua viongozi kipimo tunataka kuona wanainchi eneo husika wananufaika je mwananchi wa uliwa, utalingolo,itipula , ananufaikaje na hayo mapato Kama kila siku shida ni zilezile hakuna faidaUsilete hadithi za kufikirika,Njombe haijawahi pata hati chafu Mapato yote yanatumika ipasavyo
Mapato ya Makambako yako wapi? Hicho si ni kijiji tuu?
Kwenye iyoo ziara. Mengi tuu yatatokea ka kahama kupitia ziara ya Raisi ndo wakatangazwa kuwa manispaaa na s kiongozi akija ataangalia vitu vingi kwaiyoo lazma asikilize hotuba yetu kwa mgeni rasmi mengi yataibuka apoooNaasubiri soon Kuna ziara ya uzinduzi wa viwanda kwa mjibu wa mkuu wa mkoa
Afuu wao kata zao Hamna jipya linaloendelea ka lugenge, matola zipo zipo tuu ila kwa makambako kalibia kata zote zipo bize miladi mikubwa wanaipeleka ukoo kwaiyoo wasishangae sensa ya mwakani wanaambiwa kata zote zipo mjiniVijiji vingapi nani anstaili kiutwa Kijiji kikubwa
View attachment 1813700
Kwa upande wa makambako kata zote zipo vizuli kwasababu saiv uwekezaji unaendelea kata ya kitandilo na mahongolee ambazo zinaonekana zipo kijijini kwaiyoo tutegemee makubwa baada ya project izoo kukamilikaa au wakishapeleka lami ya mlowa, usetule Hadi kitandilo kata zote zitakua na barabara ya lami na zitaendeleaa Sanaa tuuNa mlundikano wa mji wa njombe hata mwenyekiti wa tc mwanzinga alishawai wambia kipindi stendi mpya inaanza aliwambia muende mkajifunze makambako .makambako wenzenu mji umesambaa nI ajabu mji wa njombe unakata ,13 watu wamejirundika kata tatu ramadhani,njombe mjini na mjimwema na bado hata hizo kata wamebanana barabarani kitu ambacho tofauti na makambako mji wenye kata 12 na kwasasa kata zote zipo vizuri makazi ya kuzidi kutokana na ongezeko la watu na uwekezaji uliohamasishwa Yan njombe ni Kama kitongoji na hata mtaalam wa tamisemi atakaye enda kuangalia mji wenyewe atacheka kabla ya kutoa ushauri maana hii ni process hata iringa iliambiwa ifute vijiji ikawezekana kwa njombe ni mtihani ikifuta mapato wanapoteana idadi ya watu watapoteana .maana njombe vijiji vimewazidi idadi ya watu mjini