TANZAM Highway mbona hata Igawa pazuri sana, hii siyo mradi per see wa Mji wa Makamabako bali ni mradi mkubwa wa Barabara unaofadhiliwa na World Bank. Anyway umepitia Makambako ni faida, lakini pia hata kule Mbaralali(Igawa) pamewekwa vizuri na hiyo ni sera ya sasa kila mji unapopitia mradi huo kuna kitu kikubwa kinafanyika. Rejea mji wa Mafinga.